Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ile mechi ya UEFA usiku wa jumanne iliyopita kati ya miamba wawili klabu za mpira Ufaransa na Ujerumani PSG vs Bayern itabaki kwenye historia na itasimuliwa miaka mingi sana ijayo. Tunawapa pole...
5 Reactions
10 Replies
333 Views
Hili suala Lilianza toka mwaka jana kwenye DERBY wanaletwa marefa WA kigeni je waamuzi wetu hawaoni kuwa kama kwao Hilo ni tusi kubwa sana Maana najua wanalipwa pesa kidogo hao waamuzi kutoka...
11 Reactions
31 Replies
862 Views
  • Redirect
Kuna team imekaa namba tatu sio nafasi yake kabisa. Kila lakheri Majogoo mrudi pale, tushazizoea tatu bora zetu huyu mgeni aondoke. By the Way, Arsenal bingwa EPL, Arsenal bingwa UEFA.
2 Reactions
– Replies
– Views
Kuna jambo linanishangaza kidogo, embu tusaidiane. Kila siku naona ziara za kutembelea ujenzi wa uwanja mpya wa Arusha, ila sijawahi kuona wala kusikia maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma. Je...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England. I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or...
4 Reactions
34 Replies
677 Views
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imekiri kuwa na kasoro katika jezi mpya za timu za taifa kwa ajili ya Kombe la Dunia, zikiwemo zile za England zinazouzwa kwa takriban Pauni 135. Tatizo hilo...
4 Reactions
6 Replies
562 Views
Leo kwenye ngumi kuna chalii etu kapigwa live na Mfilipino ila majaji wa mchongo wakampa ushindi mbongo.
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai. Simba...
1 Reactions
2 Replies
206 Views
  • Poll Poll
Kama mshabiki wa Man Utd ni kiungo gani ungependa Man utd isajili next season?
2 Reactions
25 Replies
301 Views
Je, kuna uwezekano wa Simba kutwaa kombe lingine zaidi ya hili la muungano? Kama upo, niambie ni lipi
2 Reactions
7 Replies
307 Views
Mkenya ameona penati halali kabisa, soote tumeona hivyo. Mkenya kaweka tuta bila kujali ni dakika ya ngapi Ila hawa marefu wetu wakubemba wangepeta hiyo, kwa sababu kanuni zake za kipuuzi...
6 Reactions
16 Replies
495 Views
Ukitaka kuzitaja hizi timu mbili kwa pamoja utakuta automatically ina sound kuanza na Simba kisha Yanga. "Simba na Yanga"
3 Reactions
21 Replies
534 Views
Ameongea Haji Sande Manara kuhusu mchezo wa Jana Fainali ya Muungano kwa kocha wao wa yanga. “Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo,tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni...
2 Reactions
7 Replies
433 Views
Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba. Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge.. umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Kwakuwa Kiufundi na Kiuwezo kamwe hatuna uwezo wa Kumfunga Yanga SC nashauri katika kuondokana na Aibu za Kufungwa Derby Mbili (kama Simba Sports Club) itatinga Fainali ya Kombe la Muungano...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Atletico Madrid wanatarajia kuikabili Arsenal kwenye dimba la Riyadh Air Metropolitano, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika...
2 Reactions
49 Replies
986 Views
  • Poll Poll
Patashika kali inatarajiwa usiku wa leo, wakati Paris Saint-Germain watakapoikaribisha Bayern Munich kwenye dimba la Parc des Princes, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions...
2 Reactions
115 Replies
2K Views
heirry Henry speaks on PSG vs Bayern Munich score line 5:4 "Listen, we need to have a serious conversation about what we are watching. For the fans, of course, it’s exciting, nine goals...
9 Reactions
34 Replies
798 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…