Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Saikolojia ya wachezaji itakuwa imeathirika sana na ukweli ni kwamba jambo hili limetokea mapema mno mwanzo wa msimu. Ilikuwa kuacha wachezaji wote waliofanya uhuni.Zaidi ya wachezaji wanane...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Hili I Ni bandiko kwa ajili ya kukusanya maoni , mawazo, mitazamo, ukosoaji, pongezi kutoka kwa wanasimba na wadau wa futiboli kwa ujumla. Unakaribishwa kuweka maoni yako hapa ukijita katika...
1 Reactions
18 Replies
897 Views
TFF na Bodi ya ligi mkishakusanya pesa zenu za mapato mkatia kibindoni Basi hamuangalii/hamfikilii ni namna gani wachezaji wamevuja jasho katika mchezo mgumu wa Derby ya kariakoo. Kabla ya mchezo...
5 Reactions
17 Replies
910 Views
Pia nikushukuru sana Kipa Aishi Manula kwa kuamua kuwatolea Uvivu Wachezaji wenzako ( Wageni ) hasa Chama na Ntibanzokinza ( tena kwa Kuwatukana vilivyo ) mpaka ukaamuliwa na Waandamizi Wawili...
11 Reactions
83 Replies
8K Views
Hakika soka letu kivyetu vyetu leo nimeshuhudia kioja cha mwaka kama sikosei ni Semfuko mchezaji wa Coastali kapewa njano mbili bila kupewa nyekundu, Kwa kifupi huyu refa wa leo alikua na...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Klabu ya Azam Fc imesikitishwa na kitendo cha Klabu ya Simba Sc kufikia makubaliano na aliyekuwa Kocha wao Roberto Oliveira maarufu kama Robertinho aliyepewa mkono wa kwaheri mchana wa leo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Winga Jadon Sancho ambaye yupo nje ya kikosi cha kwanza cha Manchester United kutokana na kutokuwa na uhusiano mzuri na Kocha wake, Erik ten Hag ameondolewa katika Kundi la Wachezaji la timu hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu mashabiki wa Simba na Yanga zile jezi za Yanga zilizokuwa zinasubiliwa Kwa Hali na Mali na mashabiki wote wa Simba na Yanga hapa Tanzania zimetoka. Nyuma zimeandikwa 5-1 [emoji23][emoji23]...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeangalia mechi zote yanga atatangaza ubingwa akiwa na mechi kadhaa mkononi. sababu timu pinzani zote ni dhaifu kwenye Nbc ligi hazina malengo wachezaji wao wamejaa ushamba. Haiwezekani...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Yes Azam 2 Hd kuna game inaendelea michuano ya vilabu Afrika wanawake kule kwa kina Pacome fundi Ivory coast na gemu ya Sasa ni dhidi ya Jkt Queen na timu kutoka Ivory coast wenyeji mpaka sasa...
1 Reactions
2 Replies
468 Views
Hakika kijana huyu anapaswa kupewa sifa ya kipekee katika ligi yetu.Huwa hakosei
1 Reactions
4 Replies
708 Views
Yaan makocha wote hamuwaoni muongee na Nabi, mtu ambaye amekuwa na ukaribu mno na viongozi wa yanga, nyie viongozi ni Yanga ni nini? Mbona mna mambo ya ajabu sana nyie
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imesema haipendezwi na tabia ya timu mgeni kwenye Mchezo wa Kariakoo Derby kutoifanyia promo mechi ya derby na kuachia jukumu hilo kwa timu mwenyeji pekee...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni sawa hatukatai #TFF ni Simba 100% sio ajabu nao utakuta wamefunga ofisi kuomboleza kichapo cha goli tano, kati ya Tff zote hii ndio imeshindwa kuficha mapenzi kwa kitoto chao kipenzi Simba...
18 Reactions
33 Replies
3K Views
Kongolee kwa bwana mdogo Clement Mzize kwa kiwango kizuri alichokionesha hakika huyu ndiye Mrithi wa John Bocco the living legend. Katika mchezo wa Dabi katika yale magoli matano Basi bwana mdogo...
13 Reactions
13 Replies
2K Views
Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana. Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno...
36 Reactions
166 Replies
28K Views
Uongozi wa Young Africans ukiongozwa na Rais wetu Eng. Hersi Said pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Ndg.Alex Ngai pamoja na baadhi ya wachezaji wetu, leo wametembelea kituo cha Watoto wenye...
3 Reactions
2 Replies
662 Views
Unawezaje tweza,dhalili,kashifu,tukana na kuuchafua UTU wa binadamu mwenzako kiasi hiki? Kwani huko kwenye media hakuna 'norms', 'rules of conduct'. Au shule ndogo , au mtu hajielewi tu. Au labda...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…