Namuona Bwana Mdogo Clement Mzize akiimarika na kufuata maelekezo ya kocha kiufasaha

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,739
Kongolee kwa bwana mdogo Clement Mzize kwa kiwango kizuri alichokionesha hakika huyu ndiye Mrithi wa John Bocco the living legend.

Katika mchezo wa Dabi katika yale magoli matano Basi bwana mdogo kahusika katika magoli mawili (assist).
Hii NI moja ya supersub Bora kabisa aliyoiingiza Master Gamond na ilikwenda kumlipa vyema.

Goli alilofunga Nzengeli lilitoka kwa Mzize na Goli alilofunga Azizi ki lilitoka kwa bwana mdogo Clement Mzize.

Pressing yake na kupungua kwa presha/papara anapokua golini bwana mdogo Clement Mzize hakika namuona mbali na ninatoa kongolee kwake.
1699277717589.jpg
 
Mzize kaimarika sana, na sababu kuu ya kuimarika kwake ni kupewa nafasi na kiaminiwa hii naiona Yanga tu .
Simba ikimuamini Mtu mmoja baaas huyohuyo hata aharibu vp alimradi aliwahi fanya mazur baasi atapangwa.

Team zijifunze kuamini wachezaji hasa wachanga ili kuimarisha uwezo wao.
 
Ni kweli; bwana mdogo jana alicheza vizuri sana kwa kuzingatia maagizo ya mwalimu. Hakuwa na papara ya kukimbilia golini, bali kazi yake ilikuwa ni kuwasambaza pepmbeni walinzi ya Simba na kufungulia mianya kwa Max na Aziz kushambulia kirahisi
 
HAKIKA ANASTAHILI PONGEZI
 
Mzize ana nguvu, ana kasi! Umri bado unamruhusu. Akiongeza tu utulivu na ule uwezo wa mchezaji kujiamini kwenye maamuzi yake uwanjani, basi tutegemee makubwa kutoka kwake.
 
Kongolee kwa bwana mdogo Clement Mzize kwa kiwango kizuri alichokionesha hakika huyu ndiye Mrithi wa John Bocco the living legend.

Katika mchezo wa Dabi katika yale magoli matano Basi bwana mdogo kahusika katika magoli mawili (assist).
Hii NI moja ya supersub Bora kabisa aliyoiingiza Master Gamond na ilikwenda kumlipa vyema.

Goli alilofunga Nzengeli lilitoka kwa Mzize na Goli alilofunga Azizi ki lilitoka kwa bwana mdogo Clement Mzize.

Pressing yake na kupungua kwa presha/papara anapokua golini bwana mdogo Clement Mzize hakika namuona mbali na ninatoa kongolee kwake.
View attachment 2806017
ana nguvu,ana spidi na anafunfishwa sana pia na mayele kwa kupigiwa simu karibu kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom