1.. Francis NYAMBULA Kahata a.k.a mguu kijiko.. huyu jamaa bado anauwezo wa kuchukua ufadha pale unyamani maana bado anao mwingi sana mguuni
2.. Erasto EDWARD Nyoni jamaa bado anasukuma sana gozi...
Kwa wanaoujua mpira wakiweka kando ushabiki Basi wataungana na Mimi na kusema kuwa Joash Onyango Alikuwa anafuta sana makosa ya beki mpenda sifa Enonga.
Mzee wa kucheza na jukwaa aliwateka...
MASHABIKI WA SIMBA MNAMKOSEA MANGUNGU.
Kati ya dhambi ambayo wanasimba lazima itawatafuna ni hii ya kumnanga huyu mzee baada ya matokeo mabovu ya simba,tuwe wakweli tu mangungu Kazi yake ni nini...
Huu ni ushauri tu kwa vyombo husika vinajifahamu siwezi kuvitaja hapa. Ila kwa kifupi kuna haja ya kuchunguza zile kambi za nje za Simba wanaenda kwa minajili gani, tunaelewa humu kwenye football...
Zile "Khamsa" kiukweli zimenichanganya kiasi kwamba hata salamu kwa wanasimba wenzangu imekuwa ngumu!
Mimi kama mwanachama hai wa Simba Sc mwenye namba ya uanachama No_678,nachukua nafasi hii...
Tafadhali Sana costal union, sisi ni ndugu zenu kuanzia rangi mpaka kushea kocha hivyo basi Leo mnapoenda kupambana na hawa wanaogawa Tano (5).
Naombeni mtulipizie kisasi maana wametudhalilisha...
Hakika hiki kipigo cha vyuma vitano kutoka kubwa la maadui Yanga kimewachanganya sana Simba wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewani kabisa kila mtu anakuja na lake humu jamii forum big...
MTAZAMO WANGU: SIMBA TUSIMAME HARAKA
Habari wadau.
Poleni sana kwa mwenendo usioridhisha kwenye michezo miwili ya ligi kuu ya NBC.
Tumeumia, tumehuzunika sana, lakini nashauri kwamba iwe...
Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji.
kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana...
Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki...
Ameandika @georgeambangile
IT IS WHAT IT IS ...!
Yani hii mechi unaanzia wapi kuichambua ?
[emoji1593]Denis Kitambi kwenye mahojiano na Gift Macha kamaliza kila kitu , amesema " kabla ya...
Timu 4 zitaongezeka kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kuanzia msimu wa 2024/25, ambapo timu 2 kati ya hizo zitatoka kwenye ligi mbili zilizofanya vizuri kwenye michuano hiyo msimu huu...
Mfanyabiashara kijana na mwenye mafanikio makubwa nchini, Mohammed Dewji amesema angependa kuwekeza Simba ili kubadili mfumo.
Dewji maarufu kama “MO”, amewaambia waandishi wa habari katika...
Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.
Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na...
KUTOKA KWENYE MAKTABA
"Asanteni mashabiki wa Simba. Nawatakia kila la kheri. Ili Simba ikue, lazima watimue waongo na watu wasio na elimu kwenye bodi ya wakurugenzi." Kocha Patrick Aussems...
Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu.
Ni muda sasa muda...
SSC niwasaidie kitu.
Mpira wa sasa upo kisayansi zaidi kuliko propaganda. Data hazidanganya. Namba hazidanganyi. Mpira ni Sayansi.
Somewhere somehow SSC ikae chini ijitafakari upya na sayansi...
Tanzania ndio unakuta mchambuzi anachambua mpira, anachambua mambo ya HR ya club, baada ya hapo anachambua mambo ya Sheria ndani ya Vilabu, akitoka hapo anachambua mambo ya Finance na hata mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.