Simba rudisheni hawa wachezaji bado wanakichafua

Riz king

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
275
547
1.. Francis NYAMBULA Kahata a.k.a mguu kijiko.. huyu jamaa bado anauwezo wa kuchukua ufadha pale unyamani maana bado anao mwingi sana mguuni

2.. Erasto EDWARD Nyoni jamaa bado anasukuma sana gozi kuliko hata huyo Fabrice Ngoma mwenye pancha

3..Bernard MORRISON mtoto wa Efua bado yuko full magazine pale FAR Rabat.. huyu mwamba atawapa na udambwi udambwi
 
Yule dogo anaengoza kwa magoli Ghana sasahiv anajua. Mchukueni yule

Cc. GENTAMYCINE
 
1.. Francis NYAMBULA Kahata a.k.a mguu kijiko.. huyu jamaa bado anauwezo wa kuchukua ufadha pale unyamani maana bado anao mwingi sana mguuni

2.. Erasto EDWARD Nyoni jamaa bado anasukuma sana gozi kuliko hata huyo Fabrice Ngoma mwenye pancha

3..Bernard MORRISON mtoto wa Efua bado yuko full magazine pale FAR Rabat.. huyu mwamba atawapa na udambwi udambwi
Ningeweza kukubaliana na wewe kwa Nyoni ila shida ya Simba ni kujua jinsi sahihi ya kutumia wachezaji ambao umri umeenda. Hii shida ilikuwepo msimu uliopita na imeendelea mpaka sasa. Saido, Boko, Chama, Kapombe, Zimbwe hawa ni wa kuwapa dakika 2-5 tu za mwisho wa mchezo wakati timu imeshapata ushindi na mechi zingine hawachezi kabisa, badala yake hawa ndiyo wanacheza dakika 90 kila mechi na wanategemewa kuleta ushindi.
 
I don't need Peace,Alywas I need Violence,And of coz Am Violence!

20231110_171832.jpg
 
Mimi nashauri Ismail Aden Rage arejeshwe kwenye nafasi ya Uenyekiti. Maana mashabiki wengi hawamtaki Mwenyekiti wa sasa; Comrade Murtazar Mangungu.

Naamini Rage akirejea, mashabiki wote wakorofi watanyooka kama rula.
 
Back
Top Bottom