Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Uthibitisho huo umebainishwa na. shirikisho la soka la Nchi yao la TFF Ndio maana hata mechi kubwa za Nchi yao hawapewi NAKALA: MOTSEPE
6 Reactions
18 Replies
365 Views
Kama siyo uhusika WA moja Kwa moja basi Uchawa umeingia michezoni rasmi.
1 Reactions
14 Replies
474 Views
Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri. Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
11 Reactions
48 Replies
1K Views
Au mnasubiria mechi za kesho?
4 Reactions
8 Replies
226 Views
Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Sio hari,eti timu ina hari,sio hari ni ARI
3 Reactions
5 Replies
313 Views
Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia Mechi bado ipo live Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya...
3 Reactions
6 Replies
278 Views
Mara nyingi tunapo jaribu wakumbusha ndugu zatu mashabiki wa Arsenal juu ya uwezo na ukubwa wa team yao, huja juu na huwa wana hisi pengine ni chuki au utani na dhihaka za kawaida kwenye soka...
4 Reactions
15 Replies
922 Views
Bruno Fernandes has been named the Football Writers’ Association (FWA) Men’s Footballer of the Year after an impressive season for Manchester United. The Portuguese midfielder beat strong...
2 Reactions
4 Replies
238 Views
Coach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans Coach Pedro...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Propaganda la goli la chama ni kuwapumbaza mashabiki wa kolo fc. Viongozi wa Simba wanajua kuwa mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo tu 🤣.. Timu ndani ya miaka 4 mfululizo Haina kombe zaidi...
3 Reactions
17 Replies
504 Views
Lamine Yamal ana kipaji cha asili (talent), Michael Olise ana ubunifu wa kipekee (flair) uwanjani, lakini Khvicha Kvaratskhelia ndiye mchezaji anayechanganya vitu vitatu muhimu kwa kiwango cha...
2 Reactions
13 Replies
482 Views
Michael Carrick has beaten all of these big clubs in the Premier League! ▫️Manchester City ▫️Arsenal ▫️Liverpool ▫️Chelsea 😂😂😂 Who's next?
7 Reactions
19 Replies
528 Views
Habari zenu, Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
5 Reactions
48 Replies
1K Views
"Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani...
0 Reactions
5 Replies
313 Views
Kwa ufupi sana. Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu. Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Salaam Wanajukwaa, Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara. KMC imeendelea kuwa na hali...
2 Reactions
4 Replies
297 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…