Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.
Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina...
Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos
Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 +...
SSC mnatakiwa kuona namna ambavyo Dar Young Africans wanavyocheza, ni kazi nzuri ya Hersi Said, Injinia.
Kaeni nae chini awape mbinu.
Hata yeye alijifunza kutokana na mafanikio SSC ya kipindi...
Yule mwamba anaupiga mwingi mpaka unamwagika, ni mchezaji wa viwango vya juu, anajua na anajua Tena na Tena
Kuna kopi za wakina Pacome wameamua kumuiga na wao wakaweka bleachπ€£π€£ lakini uchezaji...
Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili.
Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la...
Yanga wana timu mzuri saana
Sio tu Timu Nzuri pia yanga wanacheza vizuri
Wanatakiwa kurekebisha makosa madogo tu
Ili wawe bora zaidi na makosa hayo ni kujifunza jinsi ya kutumia nafasi ambazo...
BREAKING NEWS Mahakama ya Ulaya imeamua kuwa UEFA na FIFA zilichukua hatua kinyume na sheria ya mashindano kwa kuzuia kuanzishwa kwa Super League mwaka 2021 na sasa ni Halali kuanzishwa...
Jana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili.
Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano...
Kuna wadau wanaotaka Yanga kuongeza washambuliaji dirisha dogo. Siungi mkono kwakuwa walioko wanatosha na kupitiliza. Timu ya Yanga Ina magoli mengi ya kufunga kuliko timu nyingine ya ligi hivi...
Kama Kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo, kiukweli huyo Jamaa ni hakuna mchezaji hapo Ball control 2%, Passing accuracy 0.5%, Shooting accuracy 1%,
Kiufupi Huyo Hafiz hakuna mchezaji hapo leo hii...
Mashabiki oya oya acheni umbumbumbu, Kama unamtupia mawe Max Nzengeli anza kumrushia mawe kwanza mfungaji wenu (Jean Baleke) maana nae anagoli sawa na Max Nzengeli.
Eti "kashuka kiwango" Eti...
Terrible news coming from Algeria! [emoji599][emoji1026]
Thereβs an accident involving Mouloudia El Bayadh on their way to play against JS Kabylie on Friday.
Three people confirmed dead:
β’...
leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca.
Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni.
Nini maoni yako kuhusu mchezo huu...
Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini.
Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya...
Mko nyumbani,hatutaki kusikia kisingizio au malalamiko yoyote sijui refa kawaonea , mna uwezo wote wa kumaliza game mapema. Nye ndo mtakuwa na uwezo wa kutuliza game kama presha ipo juu,hatutaki...
Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.
Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa...
Mechi ya Yanga vs Al Ahly kocha msaidizi wa Yanga alipata red card, alipunzika mechi na Medeama ,mechi ya pili leo alikwepo.
Je kadi aliyopata ilikuwa akose mechi moja tu?