Mchezaji(Max Nzengeli) ana goli 7 sawa na mfungaji kinara wa Simba sc, mnaanza kusema kashuka kiwango?!

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,359
12,890
Mashabiki oya oya acheni umbumbumbu, Kama unamtupia mawe Max Nzengeli anza kumrushia mawe kwanza mfungaji wenu (Jean Baleke) maana nae anagoli sawa na Max Nzengeli.

Eti "kashuka kiwango" Eti anapotea taratibu Kama miksoni"

Acheni ushabiki maandazi na upumbavu wa kijinga nyie ndiyo huwa mnasababisha mpira wetu usikue.
1703154098854.jpg
 
Max ni mchezaji mwenye kiwango cha juu. Kitu pekee ninachokiona alianza kwa nguvu sana ndio maana kachoka kiasi ila bado mzima sana.

Ngoja tuone baada ya mechi hizi za mzunguko wa kwanza wakienda mapumzikoni atarudi vipi?
 
Back
Top Bottom