Vigogo wa soka la Tanzania, Simba SC na Yanga SC wanatarajiwa kushuka dimbani Machi 1, 2026 katika Uwanja wa Amaan Complex kuumana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kuelekea mechi...
Mwamuzi wa dabi ya tarehe 01 March ni Nassoro Mwinchui ingawa wote tunajua kuwa inaipenda sana Coastal Union na Simba ss na alishapewa adhabu mara nyingi kwa kuzipa upendeleo Simba na Coasta kwa...
Kwanini siku ya jana na leo kumekuwa na derby nyingi sana kwa mfano derby ya
Yanga vs simba
Asernal vs chelsea
Celtic vs range
KAiser vs orlando
Marseille vs lyon
Bayern vs Dortmund
Kwanin siku...
Hii ni kauli ya Karia,kwahiyo siku hizi masuala ya mpira yanapelekwa mahakamani? Wakati jamaa fulani walikuwa wanapeleka kesi mahakami,si mlipiga kelele kuwa masuala ya mpira hayapelekwi...
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa benchi la ufundi la Simba chini ya kocha mkuu Steven Barker limefanya mabadiliko kwenye safu ya uongozi wa kikosi Beki imara Rushine De Reuck amechaguliwa kuwa...
Gary Neville has urged Manchester United not to appoint Michael Carrick as their permanent manager at the end of this season, insisting that they should go for the candidate with the best C.V...
Hapa maana yake ni kwamba hakuna kampuni ya betting itaruhusiwa kuweka mchezo wa Simba na Yanga bila idhini ama kibali kutoka TFF, ambapo wao watamuuzia mtu mmoja tu na wengine wote wanapaswa...
Klabu ya Singida Black Stars imemsimamisha kazi miezi mitatu kiungo wake Khalid Aucho raia wa Uganda kwa utovu wa nidhamu na utoro kazini.
Uamuzi huo umetolewa Februari 27, 2026 na Kamati ya...
Msimu huu lengo ni kutwaa ubingwa wa EPL.Yan toka nambari 15 hadi 11 ya 7 na sasa ya nne,tumeonyesha kuwa bado matumaini tunayo.lengo letu red devils ni mafanikwa na hapa EPL hamn timu yenye...
ANGALIZO > NJIA HII HAIKUBARI KWENYE AVIATOR ZOTE .
Kabla hatujaenda moja kwa moja kwenye mbinu tuanze kwanza kuelewa Algorithm ya mchezo ,
Michezo mingi kama sio yote ya casino ime designiwa...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, amezungumzia sakata la mshambuliaji wa klabu hiyo, Jonathan Sowah, na kuthibitisha kuwa walimuondoa kambini Dodoma na kumrejesha Dar es...
shalom wote wapendwa
najua mzee wetu ha na amani kabisaa
derby ya tar 1
naomba niwajulishe kuna mchezaji atatoka amefunga goli 3 pale
wakijichanganya anavunja recodi ya kibaden
kima la...
Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025
Mechi ipo live
Salama zinatumwa
Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania
Magoli ya Yanga yamefungwa...