Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Patrice Motsepe, President of the Confederation of African Football, has defended the decision to strip Senegal of the AFCON title following their walkout during the final. The incident has...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ametetea uadilifu na Uhuru wa Taasisi hiyo kufuatia wito wa Serikali ya Senegal kutaka uchunguzi wa kimataifa juu ya tuhuma za...
1 Reactions
1 Replies
221 Views
  • Poll Poll
Kwa Mara Ya Kwanza Yaandikwa Rekodi Kwa Nchi Moja Kuingiza Timu 5 hatua Ya 16 bora Katika UEFA Champion League... Ligi Kuu Ya EPL nchini Uengereza imefanikiwa Kuingiza Timu 5 kati ya 16...
16 Reactions
282 Replies
22K Views
Hakika ndio mana Legend wa timu ya taifa ya England Jamie Caragher aliwahi kusema japo alitukanwa matusi yote Duniani kua mashindano ya CAF ni mashindano madogo. Hilo limedhihirika siku ya leo...
9 Reactions
23 Replies
634 Views
PRINCE DUBE ametoka ameshindwa kumaliza mechi dhidi ya TRA inaonekana amepata majeraha, inasubiriwa ripoti ya Madaktari kuona ukubwa wa majeraha yake na kwa hoja hiyo Emmanuel Mwanengo ndie...
2 Reactions
14 Replies
318 Views
Barua hii nimeiandika kuiomba serikali yetu ibadilishe matumizi ya fedha AFCON Ili mafundi tupate pesa za kutalii kiufundi ulaya. FUNDI SAMICO, P.O.BOX. SAMICO TANZANIA, KWENDA: Wizara ya...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Mchezo unaendelea kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, upinzani ukiwa ni mkali, wenyeji TRA wanacheza pungufu baada ya mwenzao mmoja kucheza kadi ya pili ya njano. Hadi Kipindi cha...
1 Reactions
17 Replies
579 Views
Kipa Aishi Manula amerejea rasmi katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars, kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya FIFA Series 2026. Orodha hiyo...
0 Reactions
2 Replies
450 Views
SENEGAL NAO WAMETANGAZA VILABU VYAO VYOTE HAVITASHIRIKI MICHUANO YA CAF MPAKA WAPATE AOLN YA KOMBE LAO NGOMA BADO TAMU KUMEANZA KUCHANGAMKA
0 Reactions
9 Replies
290 Views
Jana nimecheka cheko la mwaka, hakuna kituko. Cheko la mwaka kama cha CAF na Morocco wake. Sisi Simba tunaomba tupewe goli letu. Yanga nao wanataka goli lao, hahaha. cc TFF Rushwa adui wa...
0 Reactions
7 Replies
209 Views
Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes πŸ€” Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe...
0 Reactions
3 Replies
204 Views
HILI KOMBE HALINA TOFAUTI NA AI CUP YAAN USHAURI TUSIUMIZE WACHEZAJI WETU NA KOMBE KAMA HILI AMBALO LINAAMULIWA OFISIN NA CAF ALL D BEST
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo...
1 Reactions
2 Replies
395 Views
  • Redirect
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/sports/football/senegal-stripped-of-afcon-title-after-morocco-win-appeal-5394742
0 Reactions
Replies
Views
Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from...
1 Reactions
1 Replies
379 Views
Tupo uwanjan saiv na astonvilla,kipindi cha kwanza tayari 0-0.Ila miamba hawa tupo sare kwa point 51,City 61 na arsenal 71. Naomba mungu tutoke hata moja 1-0 ilitusalie top...
1 Reactions
1 Replies
181 Views
Msemaji wa Azam FC, Thabith Chumwi Zakaria (Zakazakazi), ameibuka na kauli kali akijibu malalamiko kutoka upande wa Young Africans S.C. (Yanga) kuhusu sakata la vyumba vya kubadilishia nguo...
3 Reactions
18 Replies
512 Views
AFCON 2025 Final Preview: Wenyeji Morocco wako tayari kwa pambano kubwa dhidi ya mabingwa wa 2021 Senegal Mchuano wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 unapingwa rasmi leo usiku m,ajira...
3 Reactions
363 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…