Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba, kwa mpira wa Yanga waliocheza Jana na Belouzedad na nikiangalia Simba wanavyocheza nadiriki kusema kuwa tano zingine zinatuhusu Simba na Belouzedad hamna...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
MASHABIKI WA SIMBA SC MKO WAPI? Yanga wanaizungumzia Yanga na Simba wanaizungumzia Yanga. WanaYanga wameonesha kuumizwa sana kwa Yanga yao kutolewa. WanaSimba wanaonesha kufurahi sana na hata...
11 Reactions
62 Replies
2K Views
Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake . Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Jerome Damon Refarii Mstaafu na Mkufunzi wa matumizi ya VAR wa FIFA, ameungana na maamuzi ya kulikataa goli la Yanga dhidi ya Mamelod sundown. Damon amesema Kwa Sheria ya VAR kwanza kunakuwa na...
8 Reactions
79 Replies
6K Views
Habari wanamichezo wenzangu wa kabumba, sitaki poteza muda naomba TFF itoe maelezo kuhusiana na mchezaji wa Young African ambaye hakutimiza vigezo kwenye mfumo wa usajili. Imtaje Nina kamili la...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna mdau hunu ana taarifa kuhusu ule uwanja wa Geita unaojengwa umefikia wapi?
1 Reactions
6 Replies
540 Views
Ije Mvua ije Jua iwe usiku iwe jioni na siku ileile 5imba yaenda kupigwa tena ila huenda zikapungua kiasi endapo watacheza kwa kujituma ingawa hawawezi kupenya ukuta mgumu walioshindwa masandawana...
2 Reactions
6 Replies
455 Views
Siyo Mimi Mjumbe hauwawi NB: Miye ni mwanayanga ila Nina wasiwasi na hiyo tarehe 20 matokeo yanaweza kuwa kinyume Yanga anaweza chezea parachute Aahaaaa Ihefu msiniangushe,zile tano...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
“Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio...
12 Reactions
185 Replies
7K Views
Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA...
15 Reactions
41 Replies
3K Views
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi. Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo...
0 Reactions
7 Replies
634 Views
Ni kama mzaha mzaha lakini ninaiona timu hii ikiwa chini sana na ikibaki premier ni kwa sababu za kisiasa tu ili utani wa yanga na simba usife. Sote tuliona jinsi African Lyon ilivyokufa na...
13 Reactions
49 Replies
2K Views
Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young...
4 Reactions
65 Replies
4K Views
Tia neno kama unafatilia mapambano yanayoendelea Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amefanikiwa kushinda pambano lake dhidi ya Harpreet Singh wa India kwa TKO baada ya kumalizika Raundi ya Tano...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Hayupo na hatakuwepo kwenye mechi baina ya singida foutain gate na yanga,kisa? malipo maana boss wa timu hayupo,yupo nje ya nchi. --- Baada ya kuiongoza Singida Fountain Gate FC kwenye michezo...
1 Reactions
7 Replies
977 Views
Zilizotufikia.... Mayele ni mwekundu. Viongozi wa simba wameua ndege wawili kwa jiwe moja,wameitumia safari ya Simba Misri kumsajili MAYELE. unaambiwa Mayele katumiwa form ya usajili kwenye...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo". Jina la uwanja huo ni...
5 Reactions
68 Replies
12K Views
Moja ya Viongozi Wasiokua na aibu mbele ya mashabiki pale Simba sc ni Try again na Mwenyekiti Mangungu. Mangungu alishawahi kuwadanganya mashabiki kuwa Manzoki Tayali ameshamaluzana nae na kwenye...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Beki wa Simba Enoch Inonga anatarajia kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika. Japo Inonga ana mkataba mpaka 2025 ila ameomba kuondoka na ameshaanza mazungumzo na club yake wamuachie. Pia beki...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…