Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea...
15 Reactions
71 Replies
5K Views
Wengi wamekata tamaa na litimu lao na wameahidi kuwa hawataingia uwanjani na hata wakiwa mahome kwao watageuza visogo wasiangalie mechi kati ya YANGA mwenyeji yaani na Simba. Mmojawapo nadhani...
0 Reactions
9 Replies
650 Views
Mashabiki wa simba na watu wote wapenda Mpira niwaambie tu hivi kua GONGO ni GONGO No Matter ipo kwenye Chupa gani. Ujue Mashabiki wa Mpira Hasa Simba kwa hapa Tanzania wanaongoza kwa kushabikia...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu. Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili (12) Kama kanuni za mpira zinavyosema, hivyo basi TFF na Bodi ya ligi inapaswa kuwalinda mashabiki kwa kutengeneza mikakati maalumu. Kumekua na kasumba...
3 Reactions
11 Replies
652 Views
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA...
24 Reactions
104 Replies
10K Views
Kwenye bara la Amerika Kusini, kuna makombe 10 ya dunia ambayo nchi za bara hilo zimeshinda, ukiachana na maajabu ya soka kuna maajabu yao ambayo huwezi kuyapata bara lingine. Nchi kama Bolivia...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na...
2 Reactions
2 Replies
691 Views
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Je, Huyu Mchezaji ni nani? Ameshinda Ballon d'Or Copa America La Liga Copa del Rey Kombe la Dunia Klabu Bingwa Dunia Mfungaji Bora World Cup Mfungaji Bora Ulaya Mchezaji Bora Ulaya Amecheza...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Yaelekea Yanga ilimroga Mayele Hadi Leo hii Bado mguu wake umevimba 👇👇 https://www.instagram.com/p/C5nckZEs0AO/?igsh=bGt5ZGRjMmV6NGpi
5 Reactions
34 Replies
2K Views
luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
16 Reactions
90 Replies
5K Views
Yaani Mudahiri alilia alilia sana na kupiga chini kwa hasira we mzize unakosaje hapo. Basi bhana ngoja tufatilie barua yetu CAF
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa kweli kila nikivuta picha, naona tunaenda kukutana na gharika kuu, yaani naona tukipigwa goli kumi, zikipungua sana nane. Sasa ili kuepukana na hili gharika, kwa kweli tuweke mpira kwapani...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna mtu anakumbuka first eleven....ya timu hizi... Mimi namkumbuka Madenge tu mzee meko wa bush stars na mtangazaji sukununu...
8 Reactions
143 Replies
88K Views
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba: 1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza...
39 Reactions
111 Replies
16K Views
Eid fitriiii JF leo ndiyo timu ya wananchi inashuka dimbani kuyaondoa machungu ya dhulma hivyo Nawaambia Dodoma na simba wasishangae vipigo watakavyokutana navyo. NAWASILISHA
4 Reactions
15 Replies
984 Views
Ujio wa Kocha Benchikha katika Simba kipindi hiki unadhihirisha kuwa Simba ina jeuri ya pesa ya kumleta kocha au mchezaji yoyote inayemtaka kutoka ardhi hii ya Africa. Kama tumeweza kumleta kocha...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Mashujaa Vs Simba SC | Lake Tanganyika Stadium | CRDB Confederation Cup | Aprili 9, 2024 KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA MASHUJAA
3 Reactions
601 Replies
35K Views
Back
Top Bottom