Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ JKT Tanzania🆚Young Africans SC 📆 24.04.2024 🏟 Isamuhyo 🕖 10:00 Jioni KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Kikosi cha JKT Kinachoanza. Updates... Dk 25' 0-0 Game...
5 Reactions
337 Replies
16K Views
kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule. Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana. Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
"Sisi hatushiriki Muungano Cup kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,lakini tutakwenda Zanzibar kufatilia hali ya my wetu" - Alikamwe. Ambapo tutajua amekula nini, amefikia wapi, ameimprove vipi...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya TFF na bodi ya ligi kuhakikisha timu ya Yanga inadondosha point, tegemeeni taarifa ya kuufungia uwanja huu kuanzia kesho. PIA SOMA: - FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League |...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Msimu uliopita makolo walijigamba kuwa wachezaji wake wote waliibiwa Kwa Yanga pale walipokanyaga tu airport....Kwa msioelewa ni hivi ....Yanga inatafuta wachezaji then inawakodia ndege but...
4 Reactions
16 Replies
950 Views
Penati ni halali labisa kwani ni Upumbavu tu wa Mabeki wetu ( hasa aliyesababisha Penati Hussein Kazi kutokuwa na Akili ya kufanya Tactical Tackling kwa Mchezaji mzoefu na mwenye Akili Kubwa za...
19 Reactions
17 Replies
1K Views
As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni tetesi sio habari ya uhakika Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF...
1 Reactions
6 Replies
741 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini (GBT) amesema sekta ya michezo ya kubahatisha imekuwa chanzo cha ajira kwa wengi nchini akiwemo yeye mwenyewe ambapo mpaka sasa zaidi ya...
1 Reactions
11 Replies
906 Views
MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD Je, ni timu gani kutinga fainali...
8 Reactions
51 Replies
3K Views
Baada ya kuwakanda Simba S.C katika mchezo uliopita wa ligi ya NBC, mabingwa watetezi na vinara wa ligi kuu, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kuzisaka point tatu...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
MAVUNDE CUP 2024 Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ,Diwani wa Kata ya Ng’ongh’ona Mh. Loth H. Loth pamoja na Diwani wa Viti Maalum Mh. Janeth Kusaduka na viongozi wa CCM kata...
1 Reactions
5 Replies
675 Views
TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
“Biashara ya Simba ishakuwa ngumu msimu huu, Ni ngumu kwa Simba kuvuna alama tatu kwa mechi zilizobaki kutokana na kufanya vibaya uwanjani mara kwa mara” - @nasrikhalfan_ @sportsarena88.9...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Mada ndio ishaanza na mimi naanza na Hafidh Konkon. Acha kuzubaa, endelea na wewe…
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Benchikha alipokuja tu Simba, niliwahi kuja na nyuzi mbili nikitoa tahadhari kuwa mafanikio yake yanaweza kuwa duni kutokana na hali aliyoikuta Simba. Kwanza niliongelea suala la quality ya...
2 Reactions
7 Replies
836 Views
Kufuatia kuharibika kwa pitch ya uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kwa kiasi kikubwa, mechi iliyokuwa izikutanishe Jkt Tanzania dhidi ya Yanga Afrika imeahirishwa. Taarifa zaidi zitafata
3 Reactions
6 Replies
946 Views
Habari. Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans. Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom