Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahaya, atakosa mchezo wa dabi unaosubiriwa kwa hamu dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Simba SC, baada ya kupewa adhabu ya kufungiwa na Bodi ya Ligi Kuu...
1 Reactions
3 Replies
433 Views
Namungo yuko nyumbani akimkaribisha Simba mechi ipo dakika ya 13 kwenye uwanja wa Majaliwa Stadium. Vikosi vya leo Gli kwanza la simba limewekwa ndani na Libesse Gueye 25' Simba wanapata...
1 Reactions
7 Replies
502 Views
  • Redirect
Mwanariadha nyota wa Tanzania Alphonce Simbu amefanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye mashindano ya Boston Marathon nchini Marekani Simbu alikimbia kwa muda wa masaa 2:02:47, nyuma ya mkenya...
1 Reactions
Replies
Views
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona. Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL. Europa hawezi...
37 Reactions
210 Replies
14K Views
Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA...
14 Reactions
141 Replies
13K Views
Kazi kweli kweli leo. Huku:
4 Reactions
9 Replies
249 Views
  • Redirect
MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: ARSENAL tunahitaji miujiza Leo --- Mechi kati ya Manchester City vs Arsenal (19 Aprili 2026, Etihad) ni moja...
1 Reactions
Replies
Views
As if the tickets didn’t cost enough… Football fans are facing ‘extortionate’ prices to travel to the New Jersey stadium which will host eight games, including the final.
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Mbeya City FC imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba wa Kocha Mecky Maxime pamoja na wasaidizi wake ambao ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfa na Kocha wa utimamu wa mwili Francis...
3 Reactions
44 Replies
845 Views
Wanasimba wenzangu kama mnavyokumbuka tulivyofanyiwa figisu na uonevu mkubwa na timu hii mbovu ya Berkane na hata kiongozi wao sababu ana cheo kikubwa huko CAF tukanyimwa kucheza mechi yetu ya...
2 Reactions
11 Replies
716 Views
Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua...
1 Reactions
11 Replies
288 Views
  • Featured
Akizungumza katika jukwaa la CNBC la Invest in America, Infantino, Aprili 15, 2026, alisema ni muhimu kwa Iran kushiriki michuano hiyo hata kama ushiriki wake umekuwa na mashaka tangu Marekani na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kelele za ndege wenye njaa kutoka msimbazi zimekuwa nyingi sana hadi sasa. Mara hoo Daima Mbele Nyuma Mwiko Yanga SC wananunua mechi, yani hapo bado amjabwatuka wa puuzi! Sasa Mei 3...
1 Reactions
3 Replies
183 Views
Jamaa analijua goli? Goli 21 EPL akiwa na Brentford! Brazil wana striker bora zaidi ya huyu?
1 Reactions
1 Replies
160 Views
Kuna hii kashfa kuwa kajamaa ni kadikteta🤣 Kashfa hii ina msingi wowote?
1 Reactions
11 Replies
467 Views
Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
2 Reactions
3 Replies
706 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Yanga imefanikiwa kuifunga Mbeya City United magoli 6-0 kwenye Uwanja wa KMC, hivyo kufikisha pointi 47 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya Simba inayoshika nafasi...
6 Reactions
17 Replies
620 Views
Alex Manninger, golikipa wa zamani aliyesaidia Arsenal kushinda mataji mawili (Double) mwaka 1998, amefariki dunia katika ajali ya gari nchini Austria akiwa na umri wa miaka 48. Klabu yake ya...
0 Reactions
2 Replies
214 Views
Mechi kati ya Simba inaendelea muda huu Simba wakiwa mbele kwa bao 2 dhidi ya Fountain gate. Simba yupo ugeninim, Goli kwanza limefungwa na Chama, la pili limefungwa na Gueye. Na sasa ni kipindi...
0 Reactions
5 Replies
303 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…