Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Msikie alichokizungumza Mchezaji wa Simba Kibu D baada ya sitofahamu inaendelea kati yake na Klabu yake na Simba Ambapo hapa ameeleza kila kitu na kumuhusu Meneja wake ambaye ndiye alikuwa anatoa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
If you listen close enough. Ali Kamwe kama ajui kinachoendelea yanga. 1. Pre season vs Augsburg fc Yanga atakipiga na Germany uefa team friendly tarehe ni 20 th July ila sasa Ali Kamwe yupo...
6 Reactions
99 Replies
14K Views
Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni. Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao. Kibu Ali sain...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
ELie Mpanzu miaka 22 kutoka congo atatambulisha hivi karibuni mitaa ya msimbazi Elie Mpanzu alikuwa mchezaji wa As Vita club ambaye mkataba wake umetamatika msimu huu,Kwa mujibu wa manager wa...
4 Reactions
17 Replies
7K Views
SANDALAND waprinti tu jezi mpya kama wanataka kufupisha jina la kampuni yao waziandike (SaLa), kama walishazalisha jezi nyingi itabidi waingie hasara tu kwana zitakuwa vigumu sana kuuzika. Hawa...
22 Reactions
65 Replies
3K Views
Uongozi wa Simba SC nasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
2 Reactions
5 Replies
562 Views
Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Those designers of Young Africans' jersey who worked with Sheri Ngowi and left the company created their own company, leaving Ngowi lost and GSM losing millions of money in advertising...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba SC ninasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
3 Reactions
3 Replies
466 Views
Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza. Eneo la Jezi ni moja ya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mawakili wa Club za mpira tekelezeni wajibu wenu badala ya kulaumu wachambuzi na wachezaji Na Wakili Zawadi Lupelo Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na makala fupi ya Mwanasheria...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Hili ongezeko kubwa la mbio za marathons na watu wengi zaidi wakiongezeka kushiriki hizo marathon kumechochewa na nini? Kuna siri gani huko kwenye marathons Kuna faida gani kubwa hasa katika...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE TWATAKA MAJIBU Mara upo Marekani, Mara upo kijijini, Mara haupo kambini, Hatukuoni ndegeni, Twakuita kikosini, Sasa upo nchi gani? TWAKUITA KAKA KIBU, CHONDE...
4 Reactions
3 Replies
374 Views
SWALI1 : Kwanini mnakataa jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi? Hamjui Sanda ni jina lake? # JIBU: Hatukatai jina la mzabuni kuandikwa kwenye jezi. Tunajua majina yake kamili ni Sanda Omary...
15 Reactions
21 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
4 Reactions
16 Replies
1K Views
kubeti kumeingiliwa na matapeli wengi sana wanaojinadi kutoa fixed match Fixed matches ni mechi ambayo imepangwa timu flani ipate matokeo flani, njia rahisi huwa ni kufungwa au kutoa sare. mfano...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
“Tofauti ya Simba na Yanga ni kuwa Yanga wanapotaka Mchezaji unawasiliana na Mtu mmoja tu ila Simba watu ni wengi sana kwa dili moja, mara Salim, mara Mulamu mara Magori na pia walikuja kwa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Nianze kwa kusema nimeiona jezi ya Simba na mimi nimevutiwa na ile nyeupe. Kingine Mimi sio shabiki wa simba. Ila kwa kinachoendelea kimenifanya nione kua kumbe wana simba mna MATATIZO sana...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Competition is good for business. I will be short as usual The real yanga jersey designer was not sheri ngowi but his trustee workers. So these workers are now hired in simba under sandaland...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hongera sana boss MO na Sandaland kwa kutengeneza sanda janja (smart sanda). Tarehe 8 Simba itaandika historia mpya kuwa timu yakwanza kufa kwa bao 10 bila kwenye mechi za ngao ya jamii. Kwa...
6 Reactions
3 Replies
557 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…