Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano. Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Kutoka kushoto ni Gabriel Gerald Geay, Jackline Juma Sakilu , Alphonce Felix Simbu na Magdalena Shauri wakifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwenda Kwenye mashindano ya Olimpiki Huko Paris...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Sakata la Kibu Dennis limeingia sura mpya baada ya kubainika kuwa yupo Nchini Norway kwa ajili ya majaribio baada ya kuitoroka Simba Sc kama ilivyoripitiwa awali. Hii ni baada ya nyota huyo...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Timu ya Simba imetambulisha rasmi jezi zake itakazozitumia msimu wa 2024/25. Karibu kutazama uzi huo.
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Neno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na...
13 Reactions
74 Replies
5K Views
Hao mashabiki huibuka muda wowote pale wanapotupiwa jero ya maji na wanatesa mjini kwa sababu ya ujinga wa wajinga hao. Hao wajinga utawakuta msimbazi ila kwa wingi wao wapo pale jangwani...
2 Reactions
17 Replies
879 Views
Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo. Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
2 Reactions
12 Replies
804 Views
Baada ya kudumu kwenye kikosi cha Manchester City kwa miaka 9, inadaiwa Kevin De Bruyne yupo njiani kuondoka kikosini hapo kuelekea Al-Ittihad inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwenye haya mambo ya termination of contracts Yanga walikuwa smart sana ila makolo mlikaza vichwa. Turudi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Yanga sc waliwatadhalisha kwenye sakata la FEI TOTO...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Timu hii kule nchini Ujerumani inacheza daraja la 6 (Verbandsliga Hessen Süd) wakati huku team ya Mashujaa ilikuwa inacheza daraja la kwanza, hapa ameula au hoya hoya Wakuu? ==== Aliyekuwa...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Hakuna mchezaji mkubwa atakubali kucheza kombe la waliofeli [emoji15] Kama utakuwa na akili ya soka utaelewa, ndoto ya Kila mchezaji ni kucheza CAF championship (Yanga) na sio kombe la waliofeli...
2 Reactions
16 Replies
828 Views
Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400. Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake. Kwa hiyo...
15 Reactions
53 Replies
3K Views
Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London. Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
7 Reactions
142 Replies
10K Views
Mashindano ya Olympic ya video game (Esports) ya kwanza yatafanyika Saudi Arabia 2025. Esports zimekuwa serious kwa wenzetu, mashindano ya PUBG yanayoendela sasa yana jumla ya zawadi zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukiwa na aibu kuna mambo fulani utajizuia kufanya mbele za watu hata kama unatamani sana na una haki ya kuyafanya. Miaka hii miwili matatu tunaona wimbi la watu kutoka Simba kuelekea Yanga kwa...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Wananchi Yanga SC kucheza mchezo wa pili wa kimataifa, Jumatano hii watacheza na TS GALAXY wenyeji wa mashindano ya Mpumalanga Premier International Cup Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni...
15 Reactions
210 Replies
14K Views
  • Poll Poll
Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
4 Reactions
75 Replies
5K Views
Back
Top Bottom