Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba update ya anayefuatilia mchezo wowote wa Olympic kama ataona sura au jezi ya Tanzania 🇹🇿 ajulishe ili tufyatilie kwa pamoja
0 Reactions
3 Replies
578 Views
Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana... Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka.... Kenya - Medali 6,Riadha Afrika Kusini -...
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Aliyesikiliza kesi ya akina magomba alikuwa na uhakika gani kuwa sahihi za waliokuwa wanawakilishwa kwenye kesi zilikuwa hasijaghuhiwa? Magoma anasema kuwa hukumu ya kesi alikuwanayo yeye...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Yaani Shabaan Juma akiwa Yanga walimwita "Waziri wa maji" alipohama tu wakaacha kumwita. Leo hii lile jina la "Triple C Mwamba wa Lusaka" washaacha kumwita tena Cloutus Chama. Imekuwa kama ni...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Wasalaam wandugu, Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa. Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeangalia tena marudio ya ile gemu ya jana Simba vs Yanga, hakyamungu msimu huu kuna fala atakula 10, ni suala la muda tu. Mm uzuri wake sio mgeni mechi za Simba vs Yanga, nimeanza kwenda...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Sijaelewa hii staili ya kujumlisha magoli imetokea wapi!!?? Ni ushamba ama ni staili ya kumkoga mwenye timu yake Mzee Magoma??
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Unalipi la kumkumbuka kitasa Pepe aliyetangaza kutundika daluga Leo
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal? Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa...
5 Reactions
122 Replies
7K Views
Nipo kwangu nasikia mizumari, mafujo, mazogo ya vijana mitaani. nilipoulizia nikaambiwa kuna simba na Yanga na Yanga wamepata bao 1. chakushangaza wapo katika TV na wapo maskani. Ukiwauliza...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
guest-1793390367
Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo. Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Sakata la Juma Ally Magoma na Klabu ya Yanga linaendelea, ambapo leo saa 9 ( tarehe 7 August, 2024 ) Alasiri, hukumu ya kesi ya mapitio ya Bodi ya wadhamini wa Yanga dhidi ya Juma Ally Magoma na...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Bila bila Rafiki yangu mkubwa JF hakuna Dawa yoyote ile ya Presha unayoifahamu kwani naona sasa inapanda sana.
0 Reactions
9 Replies
847 Views
Yanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili. Yanga 1 -2 Simba.
15 Reactions
89 Replies
4K Views
Leo match kati ya Simba na Yanga Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa Mfano Mwijaki ameahidi...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Ahmed Ally kasema atasherehekea kufungwa goli Moja na Yanga Kwani Makolo wengi hawakuamini na walizani watapigwa goli heavyweight. Je unadhani Ahmed Ally yupo sahihi???
3 Reactions
7 Replies
538 Views
Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom