Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo. Aibu nyingine tena kwa ligi...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Hongera tumu ya Azam kwa kudhamiria kukomesha bahasha na wale wote wanaodhamiria kuvuruga mpira wa Tanzania. Ni matendo yanayopaswa kukemewa na mtanzania yeyote mzalendo na mpenda soka. Azam...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi. Ebwana hizi mutu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Klabu ya Zamalek Imefanikiwa kutwaa Ubingwa Wa Super Cup Mara Baada ya Kuwafunga Mahasimu Wao Wa Jadi National Ahaly. Mechi Ilitamatka Kwa Kutoa Suluhu ya Goli Moja Kwa Moja Ndani ya Dakika...
0 Reactions
5 Replies
841 Views
Jamani jamani kweliii kabisaaaa Honorable Live Mh.. Hayabana wacha ninywe bia tuy
1 Reactions
3 Replies
491 Views
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Mtanirekebisha wadau. Hii ni kabla ya matches ya jana. Otherwise pia draws ni nyingi sana. Ila Yanga imemchapa sana Azam tena kwa magoal lukuki.
2 Reactions
6 Replies
495 Views
𝗧𝗨𝗦𝗜𝗕𝗜𝗥𝗜 Kumbe Makolo wanaumia hivyo kisa Young Africans Sports Club kama tu kesho akitinga makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE.Anyway Yanga amefuzu mara moja tu Makundi Ligi ya Mabingwa na amecheza...
11 Reactions
53 Replies
10K Views
Kuna maeneo Dar es salaam ukiishi unajishushia heshima yako tu, Bora ukakae Kibaha au Bagamoyo ijulikane moja. Nani anapenda kukalia Kigogo, hakuna bali hali ngumu ya uchumi inalazimisha watu...
17 Reactions
79 Replies
5K Views
Urafiki wa Azam na Simba unatuharibia ligi Azam wameuza mechi na walipewa maagizo maalum kujilegeza kama wagonjwa Huyo Sillah akicheza dhidi ya Yanga atajituma kama hatacheza tena ila mechi ya...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Ili kukidhi viwango vya FIFA inabidi uwe na seat kuanzia 40,000. Tanzania kwa sasa hatuna uwanja wa kuhost ufunguzi wa finally za kombe la Dunia. Walau mkapa unaweza host robo fainali. Kwanini...
4 Reactions
110 Replies
7K Views
Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika...
34 Reactions
422 Replies
14K Views
1. Refa ni wa simba Mpira wetu matokeo tunapanga sana. refa katumwa na simba washinde mechi. shame ila alikwau na maelekezo 2. Magoli yote offiside ya simba. Kibendela nae katumwa. yani hii ligi...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu...
5 Reactions
17 Replies
992 Views
Ebwana eeeeeeeeeeeeennh yale mavitu ya utamu na ufundi mwingi usio na kipimo wa awesu jana mmeuona? Nadhani imefika muda ahoua na awesu wagawane mechi za kucheza sio kila mechi ahoua tu, coz awesu...
3 Reactions
8 Replies
617 Views
nilikuwa mtu wa kutoa za ndani, za azam fc. kama shabiki nimejitoa ushabiki wa azam fc, 2. jezi nimechoma, anything azam fc, kama NILIPOST Moderator futa. 3. sitaki kuhusishwa na chochote cha...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Ole Gunnar Solskjaer piles pressure on Erik ten Hag by opening the door for sensational Man United return three years after Old Trafford sacking Ole Gunnar Solskjaer has given his verdict on if...
1 Reactions
1 Replies
609 Views
Bondia Anthony Joshua anatarajiwa kurudiana na Daniel Dubois baada ya sehemu ya Waratibu wa pambano lao la kwanza kudai kuwa wapo katika mazungumzo ya awali AJ alipoteza pambalo lililopita katika...
1 Reactions
3 Replies
856 Views
Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.. Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom