Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Swali wakuu wa vitengo hapa jamii forums Baada ya Simba kuleta slogani ya waimba taarabu ya ubaya ubwela Yanga wakaleta slogan ya kiupambanaji ya "GUSA ACHIA TWENDE KWAO" Sasa Jana nilikua club...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC. Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote. Uchebe mwanzoni mwa pre season...
11 Reactions
46 Replies
4K Views
Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nna uhakika kabisa kama wameweza kusajili wachezaji wa simba waliotemwa nna uhakika hata mbinu zilzokuwa zinatumiwa na Simba ileeeeeee ya kwa Mkapa hatoki mtu imeibwa na hawa jamaa. Kiukweli wana...
1 Reactions
5 Replies
808 Views
Iko crown namna anaongea nimeishia kati Ila ndio mchezaji wa kike nae mkubali sana na namtakia Kila la kheri kwenye mpira
0 Reactions
11 Replies
833 Views
Nafasi ya namba 10 haipo tena kwenye mpira wa sasa, kila kocha anacheza 4-4-2 au 4-3-3 ilikua kila mtoto anatamani kucheza namba 10 lakini kwenye mpira wa sasa nafasi hiyo haipo tena, hakuna kocha...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimecheka kweli, Bw Manara kaita wasanii ambao hawana influence yoyote hapa nchini na kuwasihi watumie platform zao kuhamasisha watu kujaa uwanjani, hivi kweli jaman washabiki wa mpira wanaweza...
2 Reactions
10 Replies
944 Views
... 🧠 ›› 𝙏𝙊𝙈 𝘾𝙍𝙐𝙕 𝙁𝘼𝘾𝙏𝙎 Hizi ni rekodi za soka ambazo ni ngumu kuzivunja na huenda huzijui. 01 ◉ Edson Arantes jina la utani, Pele 🇧🇷 ndiye binadamu anayeshikilia rekodi ya kufunga magoli mengi...
6 Reactions
31 Replies
11K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Bondia Hassan Mgaya aliyepoteza maisha tarehe 29 December, 2024 baada ya kupigwa TKO. Baada ya kupigwa TKO alilipwa Tsh 60,000 kama malipo ya PAMBANO hilo Kiasi hicho kilitajwa na Shehe ambaye...
17 Reactions
99 Replies
5K Views
Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu. Emegine kwamba...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Wewe ndio afisa habari wa Yanga, wewe ndio unatakiwa upite kwenye media zote ushawishi wanaYanga waende disband kuishangilia Yanga mwanzo mwisho, kazi hiyo unaiweza vizuri sana. Wewe umeaminiwa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mashindano ya Mapinduzi Cup yamejikuta katika sitofahamu baada ya Burundi na Uganda Cranes kujiondoa ghafla, kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa mashindano. Hali hii inatoa somo muhimu sana...
1 Reactions
8 Replies
926 Views
Club ya Simba imeanza rasmi mazungumzo na Azam FC kuhusu usajili wa kiungo mshambuliaji Feisal Salum, Taarifa zinaeleza kuwa Feisal ni kipaumbele cha juu cha kocha Fadlu Davids, ambaye anataka...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani "Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mpaka sasa hakuna mawasiliano rasmi juu ya uhamisho wa kiungo Feisal Salum ambae amebakisha mwaka mmoja na nusu na Azam fc. Taarifa za kuaminika kabisa zinaeleza kuwa namna pekee ya Feisal...
2 Reactions
10 Replies
871 Views
https://www.youtube.com/watch?v=NTfMlQAdvLs Mtangazaji: Katika uchezaji wako wa mpira Chasambi, nani unamtizama kama kioo kwako" Chasambi: Namtizama kama kioo kwenye timu yangu au...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Bondia Hassan Mgaya amefariki dunia, siku moja baada ya kupigwa TKO katika pambano la raundi sita lililofanyika Tandale kwa Mtogole, Dar es Salaam katika ukumbi wa Dunia Ndogo, na kupoteza fahamu...
13 Reactions
87 Replies
7K Views
Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971. Klabu hii ilianzishwa na...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom