Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500...
2 Reactions
13 Replies
959 Views
TFF imeendelea kuvifungia viwanja ambavyo havina sifa mfano: Al Hassn Mwinyi, Kirumba na Jamhuri Dodoma. Nashauri tena, viwanja vya CCM virudishwe serikalini, vikarabatiwe na visimamiwe na...
1 Reactions
2 Replies
539 Views
Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa hakika, TFF ndio wanaoharibu mpira wa nchi hii kwa kuingiza siasa ndani yake. Kwa mujibu wa sheria za FIFA, ni marufuku mashirikisho ya mpira...
11 Reactions
80 Replies
4K Views
guest-1787677467
Nimeiona hii video mtandaoni. Je ni kweli huyu jamaa aliyasema haya ya Simba kutokuja uwanjani kabla ya Jana au wameirekodi jana na kuifanya ionekane ya zamani?
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni klabu ya soka yenye makazi yake katika mji Ndola na inashiriki katika ligi kuu nchini humo Zambian premier league. Klabu ilianzishwa mnamo January 1, 1974 na klabu hii imetumia mda mwingi kuwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Ni kwanini suala la kuzuiliwa timu ya Simba kuingia uwanja wa taifa eti sababu mojawapo ni kuonekana kwa wazee wafupi kwenye magari. Kwani wazee wafupi wana shida gani . Nimetafakari sana hata...
1 Reactions
11 Replies
672 Views
Naomba mwenye uelewa juu ya ukweli kuhusu hii kampuni ya F.I.C inahusika na ubashiri wa correct score ila ikitokea mkeka wako ukichanika wanakurudishia pesa zako zote...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena. “Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Okra anatudai 2. Mkude anataka kulianzisha kwa Deni lake 3. Baleke anadai 4. TFF kuna Kesi Kenda (9) za Wao kudaiwa na Wachezaji 5. Kocha Mgeni na Kocha Mzawa wanadai 6. Waganga wetu hasa...
0 Reactions
18 Replies
916 Views
Uongozi wa Yanga mnataka kutingisha kiberiti ila sidhani kama mmefikiria vya kutosha madhara ya haya mnayofanya. Kuna matendo mengi ya hovyo mmehusishwa nayo ambayo yalifukiwa kwa sababu za...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
guest-1787677467
Hili ni onyo dhidi ya TFF na bodi ya League. Tunajua mnambembeleza Eng. Hersi akubali mechi nyingine ambayo hadi sasa mmeshindwa kutoa kauli tokana na tempo ya watu kuwa juu Kwa uhuni mliofanya...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo...
26 Reactions
77 Replies
3K Views
Hawa watu wametengeneza mgogoro na wanajua njia ya kuhusuluhisha maofsini. Nimeamini Simba na Yanga zinatumika kisiasa, na Toka Leo sitajisumbua na hizi timu Wakiona derby isiharibu shughuli ya...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Mbona kama vile kuna naona hapa ilipangwa long strategy na Simba. 1. [Kama ni kweli] Simba hawakuomba kutumia Uwanja, walifanya kusudi na mtego. 2. Simba wasusie Match ya Tar 8. 3. Bodi ya...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
"Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar. Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi...
4 Reactions
14 Replies
992 Views
Hapo vip!! Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi. Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha...
2 Reactions
13 Replies
676 Views
NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025. Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa...
8 Reactions
160 Replies
6K Views
Anayejua kutengeneza mkeka wa buku ambao unaweza kunipatia million 10-30 Tshs. Naomba nisaidie namna ya kuupanga huo mkeka. mfano naweka timu ngapi? Ni wa kufungana au GG? Mimi sifahamu kabisa...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom