Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania.
Simba...
Nimeshangaa Rais wa TFF kuonesha upande wake kuwa yeye anaiunga mkono Simba kwenye uvunjifu wa kanuni Simba walioufanya makusudi na kusababishwa mechi kuvunjwa
Inaonekana dhahiri Rais Karia...
Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na...
Tukumbuke tarehe March 10, 2025.
Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao...
Kwa akili ya kawaida tu wala you don need to go to school kwamba Zungu katumwa kufanya uchochezi kwa niaba ya wana utopolo.
Wamemtuma kuropoka na sio vinginevyo, wako nyuma yake, wao wanamlipa...
Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi uzinduzi wa uwanja wao mpya wa kisasa unaoitwa Airtel Stadium, uliopo katika eneo la Mtipa, mkoani Singida.
Uzinduzi wa uwanja huo mpya wa klabu...
Tanzania Sweet Heart, Wema Sepetu baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa JITUZI FC akichukua mikoba iliyoachwa na Ali Kamwe aliyetimkia Bad Nationtz katika majukumu yake.
Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine...
Natamani mchezo wa soka uwe wa vipaji,uwezo na jitihada za mchezaji kama ilivyo kwa nchi za ulaya.
Kuwe na adhabu kali kwa timu itakayodhihirika wazi kuwa inatumia ndumba ama imani za kishirikina...
Kwa wiki kadhaa nimekua nikiangalia mechi za ligi ya Italy Serie A. Nimekua nikijiuliza mbona katika kila mchezo goli la kwanza likifungwa kuna watu wanaweka mpira kwenye kimfuko na kisha...
Hivi vilabu viwili MTU ambaye anauwezo wa kuvichukulia hatua Kali ni SERIKALI PEKEE, nje ya hapo hakuna wa kuviweza japo Serikali haiingilii mpira ila hapa ITABIDI
Kitendo hicho kimetokea Huko nchini Marekani 🇺🇸 jijini Atlanta katika mchezo wa ligi nchini humo kati ya Atlanta united dhidi ya Inter Miami
Messi Ameonekana akiikanyaga jezi ya Barcelona...
Na declare interest. Mi Mwana msimbazi damu.
Tuendeleee
Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu...
Uchambuzi
Sisi kama wachambuzi tumefurahishwa na ushindi mkubwa wa timu ya Simba dhidi ya Dodoma jiji Kwani ushindi huu utaleta balance kubwa kwenye ligi sababu confidence ya Makolo itakuwa...
Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA akigusia kwa uchache faida zinazoweza kupatikana kutoka kwenye Samia Celebrities and Companies Cup.
Kupata taarifa na matukio...
HII KESI YA YANGA NA TFF ITAKAVYOKUWA KWENYE MAHAKAMA YA SOKA CAS.
Kwa utaalamu wangu wa Sheria kutoka chuo Bora MZUMBE UNIVERSITY ( Harvard of Africa)
CAS: Tumepokea malalamika kutoka Yanga SC...