Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga...
Wazee na Wanachama wa Simba wa Matawi mbalimbali Jijini Dar es salam, wamefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuzungumzia sakata la kuahirishwa kwa Mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba na...
Mnamo tarehe 21 ya mwezi wa 3 mwaka 1980 hukoo Porto Alegre nchini Brazil, alizaliwa mtume na nabii wa mwisho wa Soka.
Ujio wake ulitarajiwa, kwani ishara nyingi zilishajionesha kuwa mbarikiwa...
Wakuu
Uongozi wa TFF, Bodi ya Ligi, Simba na Yanga chini ya Wizara ya Utamaduni, sanaa na michezo utakutana kesho Machi 27 saa 4 asubuhi katika ofisi za BMT kujadili hatma ya mechi ya Derby...
Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa.
ANGALIZO
Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha...
"Kikosi kitaondoka nchini alfajiri ya tarehe 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege ya Egypt Air. Wachezaji wetu waliokuwa Taifa Stars wataungana na timu nchini Misri. Camara na Mukwala tayari...
Mabingwa wa soka wa dunia, timu ya taifa ya Argentina, leo alfajiri imefuzu mashindano ya kombe la dunia ya mwakani kwa kuibamiza Brazil mabao 4-1. Mashindano hayo ya mwakani yatapigwa kwenye nchi...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga...
Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali
Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira
Mimi naona...
Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama...
Here are the reasons
1: Substitution: mzito, very late and bad substitution of players?
2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know? Why 90mins...
Ni taarifa kwamba kutoka kwa mdau mmoja wa soka ambaye pia Mwanachama wa klab ya Yangasc kutokea mkoani Iringa ambaye ameitaka bodi ya ligi kuu ( TPLB) ndani ya siku 7 kuanzia leo kutekeleza mambo...
Mbuzi wenyewe sasa!
Inaonekana kikosi cha Simba kilikuwa na goat wa kutosha hadi makomandoo wakaamua kuingilia kati.
Watu wa yanga watakaoelewa maana ya mbuzi ( goat) ni wawili tu wengine wote...
Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi...
Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans wanashika nafasi ya 165 kwa ubora kati ya timu 500 ulimwenguni.
Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Shirikisho la Kimataifa la...
Mwamba wa masumbwi George Foreman aliyekuwa akiwadumbua wapianzani wake raundi za mwanzo tu na ambaye alitolewa kamasi na Muhammad Ali mwaka 1974 kwenye pambano la Rumble in the Jungle kule...
Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo...
Hatimaye Ahmed ally akubali kuwa walijaza mbuzi na wazee kwenye basi kuelekea mazoezini siku Moja kabla ya derby
“Tulijaza mbuzi na wazee wafupi kwenye basi, watu wakaingia mchecheto wakasema...