Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Msije kusema sikuwaonyeni mapema kwani kwa Moto wa sasa Watu hawatolala tena na sasa ni mbele kwa mbele tu Ok?
1 Reactions
9 Replies
754 Views
Uwanja umefungwa kwa mda mrefu sana kwa matengenezo ila naona pitch iko kama Ile ya zamani Labda rangi kwenye majukwaa Inaonekana kitu "matengenezo"kwa nchi hii tumefail kabisa
0 Reactions
4 Replies
519 Views
Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
25 Reactions
125 Replies
8K Views
"Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga, Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Enzi zetu nikiwa na Marehemu Mapama, Idi Kajuna na Kassim Dewji tulikuwa tunajigawa Kimafia Kimataifa na Nyumbani.
1 Reactions
2 Replies
430 Views
Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha. Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua...
2 Reactions
7 Replies
723 Views
Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto. Mnaanza kulishana...
0 Reactions
9 Replies
594 Views
Habari jf, Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki. Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni...
14 Reactions
101 Replies
7K Views
Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Ingawa ligi yao ni ya wakulima ila wanaonesha katika UCL kuwa ni tishio, wakipoteza hii UCL ni uzembe wao.
0 Reactions
2 Replies
327 Views
Wakuu mtanisamehe kwa kiswahili kisicho fasaha, Mimi ni mtanzania mwenye asili ya EGYPT baba na mama yangu ni shabiki wa al masry kwa miaka mingi, hivyo na mimi nimerithi mapenzi na ushabiki wa...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu. Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Rais Samia ameipongeza Klabu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) na kufuzu Nusu Fainali. Kupitia salamu zake, Rais...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo tunaambiana ukweli. Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Mechi imemalizika Kwa Stellenbosch kuifunga Zamalek Moja bila. Hivyo nusu fainali ni Simba na Stellenbosch
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…