Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jioni hii kwenye Michezo na Times Fm nimejulishwa kauli ya Wekundu wa msmbz juu ya pesa za M. Twite, kwaujumla zimethibitisha nilichokuwa nakifikiria juu ya Watani wa jadi, Yng SC. Hapa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
United agree van Persie deal Manchester United is pleased to announce it has reached agreement with Arsenal Football Club for the transfer of Robin Van Persie. The deal is subject to a...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mechi ya kirafiki kati ya Tanzania(Taifa stars) na Botswana iliyochezwa leo usiku jijini Gaborone imeisha kwa sare ya mabao 3 kwa 3. kila timu ilifunga magoli mawili kipindi cha kwanza.kipindi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Miezi kadhaa nilileta thread hapa kuwaulikiza wanachama na wapenzi wa simba, nani kaona eneo au kiwanja Rage na uongozi wa simba wanasema watajenga uwanja. sikupata jibu. Uongozi wa Rage umebakiza...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Fabrice Muamba Atundika daruga katika ulimwengu wa soka baada ya ushauri kutoka kwa madaktari wake wa ugonjwa wa moyo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
dakika ya 25 simba 1 azam 0
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani kuna ndugu yangu(Simba damu) anakaribia kuchanganyikiwa huku. Hebu nisaidieni habari za uhakika, Okwi ka-sign Yanga kweli? au kama ni uzushi, ukweli ni upi? Heshima kwenu.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
KUNDI A A1 Simba SC A2 Jamhuri FC A3 Zimamoto FC A4 Mtende FC Agosti 5, 2012 Simba...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakati niliposoma tambo za Msemaji(ovyo) wa team ya Simba kuhusiana na usajili wa Ngassa na Twite Simba na baadaye kusikia kashfa alizozitoa Mwenyekiti wa Club hiyo dhidi ya Mjumbe wa Kamati ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Young Africans imewasilisha jumla ya majina ya wachezaji 28 kwa shirikisho la soka nchini TFF, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu nchini inayotazamiwa kuanza mapema septemba mosi. Katibu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The Manchester United manager confirms that the Red Devils have made a solid offer for the Arsenal striker and admits he is unsure as to how the north London side will respond. Van Persie has...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
He has a long and well documented battle with drugs and alcohol but Paul Gascoigne is at his lowest point. The England legend has been rushed back into rehab after he reportedly binged on...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Mbando amewaambia Watanzania kupitia ITV Michezo leo kuwa timu ya vijana hao wamejiandaa vema na kutuhakikishia kutulea ushindi na sifa. Huenda machungu yetu ya Olimpiki yakapozwa na vijana hawa...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Nimepokea message muda si mrefu kwamba wakili maarufu nchini aliyekuwa pia mshabiki wa yanga ndg ruttashoborwa amefariki dunia leo katika hosp ya agha khan dar es salaam. Sababu za kifo bado...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Kwa kuwa simba inaongozwa na mwanasiasa mambo yake yote katika club ya simba anayaendesha kisiasa,hatoi ushirikiano na viongozi wenzake,kauli zake ni za kukurupuka,itakuwa vema kama atafanikiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Full time...Mexico 2 Brazil 1. Gold medal katika soccer imekwenda Mexico na Brazil inaendelea kuwa Soccer Giant ambae hajatwaa gold medal katika soccer kwenye michezo ya olimpiki.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
http://bongostaz.blogspot.co.uk/2012/08/simba-kumkosa-mbuyu-twite-rage.html?m=1 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
33 Replies
12K Views
27th July michezo ya Olympic 2012 imeanza rasmi,sio vibaya tukijuzana kile kanachojiri kwa siku zote za michezo hii.
1 Reactions
273 Replies
32K Views
Familia ya aliyekuwa mchezaji wa simba MAFISANGO jana ilikumbana na kadhia ya kufukuzwa kwenye nyumba wanayoishi na vitu vyao vyote kutolewa nje baada ya kushindwa kulipia pango,jukumu la kulipia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Blaise Yepmou Mendouo Wanamichezo watano waliohudhuria miechezo ya Olympic jijini London Uingereza kutoka nchini Cameroon...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…