Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,944
- 4,511
Timu yetu ya Yanga itakwea pipa kesho Jumapili mishale saa 10;35 alfajiri kuelekea Antalya Uturuki, ikiondoka hapa J.K.I.A break ya kwanza Instabull ambapo kikosi kizima kitatua saa 4:50 hapo kisha watapumnzika na kukamata ndege ingine kuelekea Antalya ambako wataweka kambi ya wiki 2, wataondoka mishale saa 7. Huko Antalya kikosi kizima kitatua kwenye hotel ya kifahari inaitwa Sueno Beach Side hapo watajifua ufukweni na mazoezi ya viungo n.k
Wachezaji watakao ondoka kesho
Makipa-Ali Mustapha 'Batez', Said Mohamed, Yusuph Abdul
Mabeki- Godfrey Taita, Shadrack Nsajigwa, Oscar Joshua, Stephano Mwasika, Kelvin Yondani,
Nadir Haroub 'Canavaro', Mbuyu Twitte na Ladislaus Mbogo.
Viungo- Athumani Idd 'Chuji', Omega Seme, Nurdin Bakari, Kabange Twitte, Haruna Niyonzima, Frank Domayo,
Nizar Khalfan, na Saimon Msuva.
Washambuliaji- Didier Kavumbagu, David Luhende, George Banda, Said Bahanuzi, Hamisi Kiiza, Jeryson Tegete na
Rehani Kabili.
Wakuu wapenzi, mashabiki na wafurukutwa wa Dar Young African tunawaombee vijana wetu wafike salama na warudi salama huko wanako enda kwenye Training ya wiki mbili.
CC: Batalanda, Kaizer, TIQO, Masuke Makoye Matale Masanilo, The Finest, watu8,
BCC: Asprin, Bigirita, @st.RR, Teamo, Jaslaws Crashwise, Jaquar, WABHEJASANA Yusuph p. Kisunzu princelaus Lambardi nngu007,
======================
Hoteli waliyofikia Yanga inavyoonekana, wanakula raha aje?

Wachezaji wa Yanga wakiwa wamepumzika katika Uwanja wa ndege wa kimataifa Instambul wakisubiria ndege ya kwenda katika mji wa Antalya

Hapa wakiwa wamewasili Uturuki

Wanaelekea kwa hotel

Fame Residence Lara & Spa Hotel reception

Meeting at Residence Lara & Spa Hotel reception
Msosi wa jioni huo
Chakula cha pamoja
Mambo mswano