Vilabu vyetu na Makocha Vibabu Wa Kizungu

Ndinimbya

Senior Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
151
Reaction score
30
Heshima kwenu wanajf! Kama mada inavyojieleza juu. Ni kwamba vilabu vyetu vikubwa pamoja na timu ya taifa vinakasumba ya kuajili makocha wa kizungu wengi wao ni vibabu ambavyo wala havina hata msaada kwa timu zetu, mfano makocha wa taifa stars J & K Pulsen sidhani kama wanamsaada wowote kwa soka la Tanzania. Naomba nieleweke vizuri sio makocha wote wazee si wazuri ila kwa upande wa timu za Tanzania wengi wanakuwa ni watalii tu ndiyo maana hawakai na timu zaidi ya miaka miwili kwa kuwa mbinu zao za mpira zinakuwa zimefika kikomo. Tumeshuhudia 2012 umeisha kwa Club ya Simba ikipokea babu mwingine kutoka ulaya na wanasema ndiye aliyemfundisha Zidane. Huyu alimfundisha zidanne je atakuwa na mbinu za kina zidane au za wakati huu. Ni mtazamo tu wadau. Nawasilisha!
 
EHE HUYU NI KOCHA WA SIMBA ? MIMI NILIDHANI HUYU BABU AMEKUJA KUSIMAMIA MKUTANO MKUU NA UCHAGUZI WA SIMBA DUH !!!,WALAHI HAWA WANAKUJA KUPUNGA UPEPO WA ZENJI.
:cool2:
 
Sikubaliani na hoja yako. Tatizo ni uzee, au sifa? Hivi kuna mzee ktk ulimwengu wa soka zaidi ya Ferguson?

Kama anajua, anajua tu , na kama hajui hata kama angekuwa kijana. Apewe muda, maana soka ni mchezo wa hadharani
 
Huyo ni kocha wa Simba, amekuja kufundisha Simba, vyovyote itakavyokuwa tutasubiri kuona jipya kutoka kwake
 
Sikubaliani na hoja yako. Tatizo ni uzee, au sifa? Hivi kuna mzee ktk ulimwengu wa soka zaidi ya Ferguson?

Kama anajua, anajua tu , na kama hajui hata kama angekuwa kijana. Apewe muda, maana soka ni mchezo wa hadharani

mzee mwingine mbali na ferguson mwenye mafanikio ya mpira. Msaada tafadhali, hii itasaidia sana wengine kutuondoa hapa tulipo kifikra na kuamini vinginevyo.
 
Otto Rehagel- Kaizerslauten, Borusa Dotmund,Greece
Macelo Lippi-Juventus,Italy
 
Mleta mada una point sana,hivi kwa mtu kama huyu........

attachment.php

......ambaye suruali yenyewe anafunga kwa kamba tutarajie nini,mimi nafikiri kuna haja sasa na Tanzania tukaanzisha utaratibu wa kuchukua vipimo kwa hivi Vibabu vinavyomiminika humu nchini kwetu kuja kumalizia muda wao wa kuishi humu Duniani kama wao wanavyochukua vipimo kwa wachezaji.
 
Attachments

  • Kocha kachoka!.jpg
    Kocha kachoka!.jpg
    49.9 KB · Views: 65
Back
Top Bottom