Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto
Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo...
Kwanza napongeza sana uongozi wa Simba, bodi na mashabiki pamoja na serikali kwa kufanikisha Simba kuingia fainali na hivyo kuendelea kuweka rekodi.
Mchezo wa Leo vs Stellebosch ulikuwa mzuri kwa...
Pia itakuwa ni timu ya kwanza Tz kuleta kombe la Caf.
Yanga kwa sasa Tuweni wapole tu, hakuna namna. Tuwe wakweli tu kuwa kwasasa hatuna hoja za mabishano na majigambo. Hata itokee Yanga...
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Akson, ameipongeza timu ya mpira wa miguu ya Simba SC kwa kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika...
Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban.
Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final.
Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale...
Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza...
Simba Ya Tanzania na RS Berkane ya Morocco ndizo timu pekee zilizofanikiwa kutinga hatua ya Fainali za CAF CC.
Cha kukumbuka hapa ni kuwa CS Constantine ilikuwa kundi Moja na Simba. Kundi hilo...
"One night, I went to a bar accompanied by a beautiful woman. We sat and talked for a long time, and I was kind to her. I told her about my life and wanted to get to know her better. I even paid...
Jamaa ana gundu,alienda Berkane hakupata medali,akaenda Yanga timu yake ikaishia makundi ,soon Simba watavaa medali.
Akihojiwa alisema ndoto yake ni kuvaa medali au kombe.
Hana bahati ila ni...
Kupitia alichokifanya Yanga kwenye michuano hii ya CAF ni wazi wamebadilisha mindset za klabu zetu hapa Bongo kwamba Mafanikio sio Robo Fainali wala kufa kiume. Simba alitolewa Robo fainali...
Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba.
Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji...
Kwa heshima na taadhima, tunapenda kuwapongeza Yanga kwa kuweka historia ya kuwa watalii rasmi wa fainali za CAF Confederation Cup! 🎖️😂
Kwa muda mrefu mmekuwa mkihubiri injili ya "medali...
Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imeachana na Kocha Mkuu wa Afrika Kusini Rulani Mokwena, wiki chache kabla ya Kombe la Dunia la FIFA la vilabu nchini Marekani.
Uamuzi huo ulifanywa...
Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera .
Moja kwa moja kwenye mada .Baada ya Simba kufuzu kwenda hatua ya fainali sasa tutaanza kuona nyuzi za watopolo wakimtisha simba...
Mwamnyeto
huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe
Ikangalombo
Wakati mwingine sio lazima timu iwe...