Mara nyingi utasikia watu wanasema "mpira una lugha yake" ila wanachoshindwa kutambua ni kuwa kushindwa kuelewa lugha fulani kunaweza kukupunguzia uwezo wa kuelewa maelekezo kwa haraka na ufasaha...
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu...
Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la...
Simba hii imekuwa ya kushangaza, ni Simba ambayo Sisi Wana Simba tumeyasikia mengi!
Cha kushangaza, toka Tu uongozi ulipomtangaza kocha mpya NI Fadlu. Ukweli yalisemwa mengi ya kejeri nk. Eti...
Najua mahaba ni makubwa mno kiasi kwamba hawapendi kabisa kuambiwa ukweli, lakini wakati utaongea vizuri.
Mechi ya fainali inaishia Morocco na kuna mtu anaenda kula kono la nyani
Hii kitu ndio...
Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya...
FULL TIME: SOUTH AFRICA 1 - TANZANIA 0
Siku ya leo tarehe 30 April, majira ya saa 12 jioni kwa masaa ya Africa Mashariki, vijana wetu wa Tanzania walio chini ya miaka 20 almaarufu kama...
Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...[emoji23][emoji23]
Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya...
Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na...
Sisi kama mashabiki og tunaoenda uwanjani mechi zote za Caf kma mechi za mtoano hakukuwa na Tajiri aliyetununulia tiketi za bure basi fainali napo tunaomba kila mtu alipie ili wapenzi.halisi wa...
Nilidhani hili tulishalimaliza zamaaani ila naona bado kuna watu wanakataa kukubaliana na huu ukweli.
Sitasema mengi ila nitaambatanisha vyanzo vitatu vya kuaminika ambavyo vyote vimekiri kuwa...
Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.
Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli...
Utangulizi:
Futsal ni Football ila inachezewa kwenye viwanja vidogo kama vya basketball, na havina nyasi vigumu kama basketball.
Sasa kuna mashindano ya Futsal ya Africa, kwa upande wa Wanawake...
Hizi mechi za Muungano Zina mvuto kuliko zile za kombe la wakina mama alilosema Mzee kaduguda shabiki namba Moja wa weKUNDU wa msimbazi, Seriously
Ukiangalia unakubaliana na Mimi .... kwenye...