Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina...
30 Reactions
2K Replies
65K Views
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka. Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi. Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Al Hilal 📆 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya...
37 Reactions
1K Replies
60K Views
Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza. Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo...
0 Reactions
11 Replies
621 Views
Mechi ya Namungo Vs Dodoma Jiji ilipaswa kuwa ya mwisho huyu binadamu kuchezesha. Amechezesha zaidi ya Mechi 7 Kwa kiwango kibovu lakini bado Mamlaka zinamfumbia macho. Coastal, KMC, Tabora Utd...
2 Reactions
6 Replies
732 Views
Baada ya kelele za wadau wa michezo ikiwa ni pamoja na wabunge hatimaye Waziri Mwakyembe amelivunja rasmi Baraza la Michezo Tanzania. BMT ilikuwa chini ya uongozi wa Ndg.Dioniz Malinzi. ---- In...
8 Reactions
77 Replies
12K Views
1. Mwamuzi Kefa Kyombo ndo alimaliza mpira mechi dhidi ya Simba na Coast union kwenye sare ya 2_2 Coast union walikuwa kwenye shambulio la kufunga goli, katika hali ya kustajaabisha Kefa Kyombo...
3 Reactions
151 Replies
5K Views
Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio...
0 Reactions
6 Replies
545 Views
Jana nilishuhudia mechi baina ya timu ya Simba dhidi ya Mashujaa. Binafsi niliona kama timu ya Simba ikibebwa kwa asilimia 100. Iweje Refa anazidisha muda kiasi kile ili hali muda uliopangwa wa...
0 Reactions
2 Replies
343 Views
Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports Vs Jkt Tanzania Vs Coastal Union Vs...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Huyu dingi haeleweki aisee khaa😄😄
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Tulishatoa ushauri humu kwamba mtengeneze umoja wenu..na ikiwa itawafaa msusie kuendelea na michezo ya ligi iliyosalia hadi mtakapohakikishiwa michezo yenu itachezeshwa kwa haki kwa level sawa na...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Kama kuna timu imejifunga goli leo ni Mashujaa FC. Dakika za mwanzo wamegeuza uwanja kuwa sinema ya kuchelewesha mpira—kipa analala juu ya mpira, mabeki wanatembea kama wanaenda sokoni, na kocha...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Watu wote isipokuwa wawili tu ndio wenye akili huko timu makayabo. Sijawahi kuona timu ambalo mtu wao akisema uongo wa kuwa feva watu wote waunakili unakuwa sehemu ya kauli zao. Mfano...
2 Reactions
8 Replies
619 Views
Ukiangalia mpira kwa mihemko utaona refa aliibeba Simba, lakini ukituliza fuvu ukaufuatilia kwa kutuliza fuvu hatua kwa hatua tukio kwa tukio, utaona wazi refa na wasaidizi wake walikuwa makini...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Mpira gani huu? Hivi CAF au FIFA awawezi kuifungia ligi yetu? Maana yanaendelea ni udhalilishaji wa mpira wetu
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Mambo ya kushangaza na kustaajabisha kabisa hata kama ni kubebwa Lakini hii ni too much Mashujaaa FC wamezurumiwa wazi kabisa na Refa aliyechezesha Mchezo dhidi ya Simba SC na Mashujaaa. Dakika...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Ubaya ubwela,mchezaji wa mashujaa ambaye jina lake linaanza na herufi M ameangua kilio hotelini baada ya bajeti yake ya kununua kiwanja kuota mbawa Wakati akilia ghafla alipokewa na wenzake...
5 Reactions
16 Replies
922 Views
Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo...
6 Reactions
17 Replies
774 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…