Nakiri kuwa mimi sishabikii Simba, maoni nayotoa hapa sio ya kiushabiki bali ni uhalisia wa hali ilivyokuwa uwanjani
1.Pengo la Ahoua nadhani mmeliona. Zile faulo zilizokuwa zinapigwa pale nje ya...
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF
Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS...
Wakuu sijamaliza, muendelezo ni ule ule baada ya leo wale Makolo kufunga goli la Offside ya mchongo kutoka kwa Kibu akipewa assist na refa.
Sasa game inayofuata kwa Madiba miamba Stellenbosch...
Nimewakumbuka sana hawa wanalunyasi, hapa jukwaani walikuwa wanachangamsha kweli hasa kuanzisha nyuzi za mechi za mnyama, lakini tangu ubaya ubwela uanze sijawaona tena! Naomba nijue kama...
Mtangazaji wa Wasafi FM, BabaLevo aweka ahadi kama Simba wakishinda Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki wa klabu hiyo waende kuvunja ghorofa lake.
Credit: Wasafi FM
Hata Mimi ntaweka ahadi ya...
Kocha wa FC Barcelona, Xavi HernΓ‘ndez amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari...
Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili...
Application fee ya dola kadhaa imeenda
Na rufaa imechanwachanwa.
CAS wanadai Bodi ya ligi ndio chombo cha juu cha kutoa maanuzi na ratiba juu ya mechi yoyote na hakipaswi kuingililiwa na chombo...
FULL TIME: Tanzania 0 - Sierra Lione 1
Leo tena Group A mapambano yanaendelea kwa Tanzania wakikipiga na Sierra Lione na sasa ni Dakika ya 28.
Hadi sasa msimamo wa Group A uko hivi:
Yani Yanga wanavyolalamika utaweza kusema wao hawajawahi kubebwa hata siku moja. Tena mbaya zaidi wao bila aibu walibebwa kwenye derby.
Ninaamin km ndio Simba angebebwa vile basi hawa Yanga...
Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na...
Hili ni tukio moja katika mengi yaliyofanywa na Mashujaa katika kupoteza muda.
Imagine huyu ni mchezaji na kamuongopea refa kuwa ameumia na kumtaka refa aite medical team uwanjani.
Halafu jamaa...
π°ππππ πππ°
π #CAFCL
β½οΈ Young Africans SCπCR Belouizdad
π 24.02.2024
π Benjamin Mkapa
π 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya...
Gusa. Achia. Twenda kwao.
Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi.
Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina...
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.
Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.
Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo...
π #CAFCL
β½οΈ Young Africans SCπAl Hilal
π 26.11.2024
π Benjamin Mkapa
π 10:00 Jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal
Dakika ya 5
Mpira Umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanakosa nafasi ya...
Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza.
Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo...