Kufuatia sare ya 1-1 na Levante,FC Barceona imejikuta katika hatari ya kupokwa uongozi wa La Liga. Hadi sasa, ikicheza michezo 20,Barcelona ina alama 51 huku Atletico Madrid ikiwa na alama 50 na...
mpaka sasa ni Chelsea 3 vs. 1 Manchester United 0 ni kipindi cha pili,
nimeumia sana kwakweli
kwa mlio mbali na TV basi unaweza cheki mechi hii kupitia link hii hapa...
Ikicheza kwa kushambulia kutokea pande zote za uwanja(kushoto na kulia)Yanga leo imeshikwa shati na timu ya ligi kuu ya Kazakhstan(KS Flamurtari)
Mchezo huu ambao umemalizika muda mfupi uliopita...
Jamani hivi kama tunaweza kupata matokeo ya mechi iliyochezwa Side Stars Complex Manavgat Antalya kule Uturuki inakuwaje tunashindwa kupata matokeo ya game iliyopigwa hapo Temeke, enh....wapi...
Mourinho made Rooney his top transfer target over the summer, but despite lodging three separate bids for his services, United refused to sell.
The Blues boss now says that he expects David Moyes...
Nilifikiri ningekuta uzi wenye updates humu, lakini matarajio yangu yamekuwa sivyo. Pamoja na vyombo vya habari kujitahidi kutangaza kwa usawa michuano hii inayoshirikisha wachezaji wanaocheza...
Wana michezo wenzangu hasa kwa wale tunayoipenda Simba,
Naomba kwa ambao wako Zanzibar watupe live updates hapa...
Hili ni ombi maalumu kwani sijaona uzi wowote juu ya hii mechi.
Unajua ukimuangalia moyes yupo simpo sana lakini ni mtu mwenye akili sana katika maamuzi yake mfano timu yake katika hali yake sasa iliyonayo ila mcheki anavyomcheki anavyoangaika kutafuta mtu...
Ni mwendo wa vipigo tu:
Katika mechi yake ya 2 ya kujipima nguvu, Wafalme wa kusakata kabumbu nchini Tanzania Dar Young Africans almaaruf kama Yanga wameifunga team ya Altay S.K inayoshiriki Ligi...
Kocha wa sasa wa chelsea leo hii amenifurahisha sana kwa maoni yake alotoa wakati anahojiwa na bbc sport. Amejaribu kusema kwamba hamuonei huruma moyes japo yupo kwenye wakati mgumu sasa kwa kuwa...
Mtani jembe walisema bonanza, walisahau hata maandalizi yaliyo yafanya na mpaka walivyo oongea na wandishi wa habari kuhusu mechi.
Wakajito amapindizi Cup na kulipa milion 10 na kuruka zao...
NIONAVYO MIMI KWENYE "YES" "NO" NA "MAYBE"
Ukiniuliza kama Liverpool itamaliza Top four,jibu langu ni "may be" Ukiniuliza kama Spurs watamaliza Top four,jibu langu pia ni "may be"
ukiniuliza...
magine you were in a coma since may last year and you just woke up today then your friend tells you that;
1. Arsenal is on top of the league.
2. Arsenal bought Ozil for £42m.
3. Man utd is on...
KOCHA aliyekosa bahati ya kujiunga na Yanga, Mbelgiji Luc Eymael amesisitiza kuwa Yanga watajuta ndani ya kipindi kifupi kutokana na kumpa ulaji kocha mzee Hans Van Der Pluijm.
Eymael alisema...
Naomba niwe mmoja wa watu wachache wanaoamini kuwa Ferguson kamuachia Moyes kikosi kibovu sana!
Natambua mchango wa kocha aliyepita na wachezaji msimu uliopita ila kiundani zaidi ni kama team...