Kocha wa sasa wa chelsea leo hii amenifurahisha sana kwa maoni yake alotoa wakati anahojiwa na bbc sport. Amejaribu kusema kwamba hamuonei huruma moyes japo yupo kwenye wakati mgumu sasa kwa kuwa yeye mou anaamin kwamba moyes anajenga timu ya baadae japo ni suala linalochukua muda kufikia mafanikio na pia kwa upande wa arsenal imefikia pale ilipo kwa sasa kwa kuwa ile timu imejengwa kwa muda mrefu japo yeye haamin kama timu yake inaweza kuchukua ubingwa msimu kwa kuwa yeye kwa sasa anajenga timu ya baadae kitu ambacho kinachukua muda katika kufikia mafanikio. Asante sana Mourinho. Mimi ni Fan wa arsenal lakin kwa hili nimempogeza sana huyu kocha huyu.