Simba ongeeni wenzenu Yanga wanaongoza ligi ya uturuki

Mahweso

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
1,098
Reaction score
1,501
Mtani jembe walisema bonanza, walisahau hata maandalizi yaliyo yafanya na mpaka walivyo oongea na wandishi wa habari kuhusu mechi.

Wakajito amapindizi Cup na kulipa milion 10 na kuruka zao uturuki, hongeleni sana Yanga nasikia mnaongoza ligi ya uturuki sasa, hatua nzuri sana yafaa kuigwa na vilabu vingine Tanzania. sio kukalia kucheza mabonanza, Azam, Simba, Mbeya City na Ashanti mpoooooooooooooooo Yanga oye
 
Mafuta ya MAWESO siyo kila team inaweza kuiga kila kitu, mambo mengine yanahitaji uwezo...utaiga kununua Audi (Gari) wakati hata baiskeli ya Phoenix huna?!!!!
 
Mtani jembe walisema bonanza, walisahau hata maandalizi yaliyo yafanya na mpaka walivyo oongea na wandishi wa habari kuhusu mechi.

Wakajito amapindizi Cup na kulipa milion 10 na kuruka zao uturuki, hongeleni sana Yanga nasikia mnaongoza ligi ya uturuki sasa, hatua nzuri sana yafaa kuigwa na vilabu vingine Tanzania. sio kukalia kucheza mabonanza, Azam, Simba, Mbeya City na Ashanti mpoooooooooooooooo Yanga oye

Acha basi wivu wa kidada wewe.....kuna ubaya gani akiongoza huko kwani hapa home sianaongoza?
 
Kweli kabisa; tatizo la wadau wengi humu JF wamepafanya sehemu ya kuleta umbeya na wivu wa kitoto:
Acha basi wivu wa kidada wewe.....kuna ubaya gani akiongoza huko kwani hapa home sianaongoza?
 
Mtani jembe walisema bonanza, walisahau hata maandalizi yaliyo yafanya na mpaka walivyo oongea na wandishi wa habari kuhusu mechi.

Wakajito amapindizi Cup na kulipa milion 10 na kuruka zao uturuki, hongeleni sana Yanga nasikia mnaongoza ligi ya uturuki sasa, hatua nzuri sana yafaa kuigwa na vilabu vingine Tanzania. sio kukalia kucheza mabonanza, Azam, Simba, Mbeya City na Ashanti mpoooooooooooooooo Yanga oye

Wanaongoza hadi Oman kwa malkia wa nyuki. Safari hii hamkutoka kelele nyingi. Simba ingeshinda Mapinduzi wangepata hiyo million 10 iliyofadhiliwa na Yanga. Timu la wananchi inasaidia wote.
 
Yanga wamefanya jambo lla maana sana kwenda kuweka kambi nje ya nchi lakin mimi siamin kama uturuki ni sehemu sahihi kwao hata kidogo. Halafu wadau ule mpira wa umbea umbea ushapitwa na wakati na kwa sasa mpira ni zaid ya mpira. Unahitaj uwekezaji wa rasilimali fedha na watu na sio majungu au kwenda kukaa pale jangwan au msimbaz na kupiga majungu. Hayo mambo yashapitwa na wakat sijui wazee wa klabu za simba na yanga, hawa watu wanarudisha nyuma maendeleo ya mpira hapa nyumbani. Hawa wazee ni zaid ya kero kwa hizi timu mbili. Kaz yao ni majungu tu na kuyumbisha timu zetu. Tunataka tufanye mapinduz katika soka letu la kibongo kwa kuwa na viongoz bora na si bora viongoz na wale wanaojiita wazee wa timu waondoke wakafanye yao majumbani mwao.
 
Watu wa mpira tunajua dogo mkali..next season anatua jangwani kwa dau lolote ili nae asafiri ulaya akaoshe macho..sio nyie kila siku kwa waarabu ila ndio uwezo wenu msikonde
 
Hela zetu ambazo hao waponjoro wanatuibia kila siku... !!! Wanacheza na timu za mashoga ngoja warudi waanza kutafunana 🙂

Wanaongoza hadi Oman kwa malkia wa nyuki. Safari hii hamkutoka kelele nyingi. Simba ingeshinda Mapinduzi wangepata hiyo million 10 iliyofadhiliwa na Yanga. Timu la wananchi inasaidia wote.
 
Hela zetu ambazo hao waponjoro wanatuibia kila siku... !!! Wanacheza na timu za mashoga ngoja warudi waanza kutafunana 🙂

Hivi anaongoza ligi. Hivi ni timu gani yenye kocha mlopokaji mwenye tutabia twa ushoga. Leo mnamutoa kwesho anarudi anazidi kupiga domo tu.
 
Back
Top Bottom