Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

I salute you kinsmen. Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga . Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Simba: Hatuchezi hadi waliovunja kanuni wachukuliwe hatua Yanga: Ooh,walikuja na mbuzi,na vizee vifupi,imagine mabasi mawili,mabaunsa mnajuaje ni wa Yanga,bodi ya ligi mna pendelea,rais wa TFF...
2 Reactions
2 Replies
522 Views
What's up, fellow footballers! Today, I want to talk about something that's been bugging me for a while: time-wasting in our Tanzanian league. We all know it happens – players faking injuries...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
5 Reactions
89 Replies
3K Views
Uongo wa hii timu huwa unawachota hadi baadhi ya mashabiki wa Simba na wao kuingia kwenye mfumo. Walishafanya kwa chama wakimuita konokono baadhi ya mashabiki wa Simba wakaingia kwenye mkumbo wa...
1 Reactions
3 Replies
465 Views
Karibuni Nyumbani Wadau.
2 Reactions
2 Replies
245 Views
Sijajua hasa tarehe ya Mechi ya Simba SC na HATUCHEZI SPORTS CLUB ni lini ila ni Siku iliyobarikiwa ya Jumapili wameisha.
0 Reactions
10 Replies
823 Views
Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao...
2 Reactions
13 Replies
830 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Muda mchache ujao, El Clasico inapigwa. Ni Barcelona Vs Real Madrid katika mchezo muhimu wa La liga ambao utatoa picha ya mbio za ubingwa. Ikumbukwe ni El Clasico ya mwisho kwa Carlo Ancelloti...
6 Reactions
334 Replies
12K Views
Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza. Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari Wana jf wote. Moja Kati ya washambuliaji bora wa wa Kati kwa Sasa ni Harry kane mshambuliaji anayeichezea Bayern Munich ya ujerumani katika bundesliga. Kabla ya kujiunga na Bayern alikuwa...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Bodi ya ligi imewasikiliza wachambuzi na kuja maazimio ya kuipangia derby tarehe zingine CAS imeshauri kuwa shauri lisikilizwe na kutolewa maamzi na ngazi ya Rufaa ya TFF, haijasema bodi ya ligi...
3 Reactions
99 Replies
5K Views
Hata Kama ni Mdau Wa Soka nguli , Kwa Muda huu Msiwafanyie interview. Itakushangaza Majibu yake...! Nilimsikia Angetile Osea akitumia neno 'wajinga' TFF na Bodi na akaongeza Kwa Sasa Wasiseme...
3 Reactions
6 Replies
592 Views
Ni basi wachambuzi hawajampa spotlight kwa sababu wanazozijua wao ila huyu mshikaji ni mali
2 Reactions
13 Replies
967 Views
Mbungi itapigwa leo majira ya saa kumi kamili katika kiwanja cha KMC Kikosi cha Simba Kikosi cha KMC
10 Reactions
193 Replies
12K Views
Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha. TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Harry Kane amewatia gundu wenzie mpaka kombe wamelikosa kama alivyowapelekea gundu Bayern Munich wakakosa ubingwa msimu uliopita na sasa kwa mara nyingine vijana walipambana lakini mkosi aliokuwa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…