Shalooooom
Wapendwaaa
Za uzima baada ya tar 8 mechi kuhairishwa. Hakuna mtu alieongelea...Pesa zenu mlizokata tiketi kwente hii mechi
Naomba kuwajulisha msikimbilie kukata tkt mechi haipo
2...
Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale...
Tufanye wewe ndio kocha, hebu tengeneza kiungo chako cha watu watatu kutokea katika kundi hili la viungo pichani.
Mimi kwenye watu watatu, wa kwanza kabisa ni Sergio Busquets iwe jua au mvua...
Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili...
Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha.
Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au...
Mkutadha: Kikosi kilivyotua airport tayari kuanza safari ya kuelekea Morocco mchezo wa fainali ya CAFCC
Kikosi cha Simba SC kimeanza safari yake kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa fainali...
Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC.
Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita...
Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili.
Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa...
Jana niliwafatilia RS Berkane katika mechi yao ya Ligi Kuu ( Botola Pro ) vs Maghreb Fez , nilipata angalau 50% ya kufanya tactical analysis
✍🏻RS Berkane wapo well oiled machine
✍🏻Utimamu wa...
Tangu ile derby ambayo man of the match alikuwa Kayoko, Kayoko hajachezesha mechi yoyote
Simba waliwaambia kuwa huyu dogo hafai kuchezesha hata marede akaimbe singeli, ushahidi wa audio na video...
Shalom Mzee Nguto
Popote ulipo
Sina mengi niimeona mitandao mengi ikikuongelea kuhusu derby
Ushauri tu mzeee umeshakaa na wenzio ukataja tar ya mechi
Kaa utulie hivyohivyooo kama vile usikii...
Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania.
🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation...
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah Muhene maarufu 'Try Again' ameeleza yanayoendelea kuhusu Elie Mpanzu kuwa yupo Klabuni humo kwa mkopo.
"Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa...
Muda si mrefu
Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun
Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8
Sasa bodi ya ligi a Karia wenu
Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba...
Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu...
Moja ya mambo yanayorudisha michezo nyuma ni academy za michezo mbalimbali kukabiliwa na ukata wa fedha za kujiendesha
Lengo kuhakikisha Tanzania inakuwa dominant kwenye michezo karibia yote
Rodrygo 'doesn't want to play for Real Madrid again over an issue involving Jude Bellingham'... in split that could spark Premier League transfer battle
Real Madrid star Rodrygo has decided he...
"Hata mkitusifia hatuchezi" Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ambaye pia ni shabiki wa Yanga SC
"Kuhusu ile ya Simba hata mkitusifia hatuchezi hadi mambo yetu yasikilizwe.Unajua hawa jamaaa...