mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Wadau wa mpira wa miguu nimeona tuwe na uzi ambao utajikita katika kuchambua takwimu (match statistics) kwa undani zaidi.
Wale ambao michezo wa mpira ni taaluma yao karibuni hapa mtoe utaalam wenu. Tunategemea kuona utaalam zaidi kuliko ushabiki. Karibuni anzeni na uchambuzi wa mechi ya jana ya Liverpool na Hull City.
Takwimu zenyeweni:
Possession HC, 39%
LP 61 %
Total shots HC 06
LP 12
Shots on target HC 04
LP 10
Shots woodwork HC 00
LP 00
Corner HC 07
LP 07
Foul HC 10
LP 09
Offside HC 01