Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ilipromotiwa sana kwamba atayeshinda kwenye pambano kati ya matumla na mchina ataenda kupigana kwenye pambano la ufumbuzi kati ya Man Pacquiao na Floyd Mayweather ila naona kimya, au ndo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naam bila shaka, naomba tukutane tena katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Azam FC akiminyana na Simba sc hivi leo. Vikosi vya timu za AZAM FC na SIMBA S.C vinavyoanza leo; Azam...
0 Reactions
184 Replies
26K Views
Hawa yeboyebo kudadadeki zao siwapendi wiki yote hii,ubingwa wenyewe wamebaatisha tu,msuva meenyewe kafunga magoli ya kuotea....azam piga yanga bao 1 tu niburudike mm
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Msifanye usajili mkubwa kiviiile,na wachezaje muhimu wasiachwe....haswa mbuyu twite, ngasa nk.timu ikibaki hivihivi tutachukua ligi kuu kabla ligi haijafika katikati mwa msimu
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kweli pesa sio kila kitu. Azam campany imewekeza vitu vingi sana na kimoja wapo ni soka ambapo ilijitahidi kutushawishi sie tuliovunjika moyo tuamke na kuiona ni mkombozi. Walipochukua ubingwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Bondia kutoka Ufilipino Pacquiao bado anakibarua kigumu hapo Nevada baada ya kutoa taarifa za uongo katika hali yake kiafya kwani alikuwa na majeraha katika bega lake aliyopata wiki tatu kabla ya...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Kama Yanga kimataifa angemtoa Etoile Du Sahel angekutana na Raja ya Morocco kwenye kundi A kwenye draw ya CAfCC iliofanyika muda mfupi uliopita...TUJIPANGE MSIMU UJAO KWA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Klabu ya Dar es Salaam Young Africa FC imetamka thamani ya kiungo wao mashuhuri kabisa yaani saimon Msuva kuwa ni Shillingi Million mia 750/= Kutokana na Tetesi zinazosikika kwamba kuna baadhi ya...
0 Reactions
182 Replies
17K Views
Wadau, hii ni taarifa iliyovuja kutoka vyanzo vya kuaminika kuwa Bondia wa Kifilipino, Manny Macquiao aka PACKMAN ameshindwa kwenye pambano lake na mpinzani wake Floyd Mayweather kutokana na...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 66 TAREHE 05 MEI 2015VPL KUENDELEA KESHO Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo mmoja utakaopigwa katika dimba la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, nakumbuka wakati naanza kupata ufahamu wa soka hapa nchi, timu iliyokuwa ikinivutia ni Cosmopolitans baadae ikapotea kimya kimya. Tafadhari mwenye kumbukumbu nzuri ya hii timu atupie hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
After what some had hoped to be the "fight of the century" turned out to be, what some would want you to believe, the "bore of the century", I thought I should share some of my views. On the...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mayweather vs. Pacquiao: the uber-bout that wasn't. The so-called fight of the century was pay-per-snooze, a complete waste of everyone's time and money - except in a boxing community now rolling...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Jukwaa hili leo nalivamia.Nataka kulitumia.Kulitumia kusemea jinsi nilivyoumia. Mtu aliyepigwa ndiye aliyetangazwa mshindi. Mshindi ameachwa. Mkimbiaji ulingoni ndiye mshindi! Meiwedha amepigwa na...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Title inajitosheleza, kwa mtazamo wangu. Timu bora, Beki bora, Mchezaji bora, game kubwa na bora, eneo la hatari zaidi....reaction ya Messi baada ya, inaelezea yote. Popote likitamkwa jina...
8 Reactions
197 Replies
17K Views
Wadau hapa tutapata Live Update za Pambano la Yanga na waarabu kutoka Tunisa Pambano hili litakuwa hewani leo saa 3 usiku kwa saa za afrika mashariki na ya kati. hapa ndipo tutakata mzizi wa...
2 Reactions
311 Replies
35K Views
naona timu kubwa zikishinda wanapiga nyimbo zao za ushindi redioni. pia timu ya mbeya city wamerekodi nyimbo nyingi sana za kushangilia. nauliza kama hii miamba ya soka ina nyimbo zilizorekodiwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
The winer has become the loser without prior consent this is totally unfair.The red color who is the champion has changed to blue colour who is the loser and become vice verse is true.It is really...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Pesa ambayo amelipwa / atakayolipwa floyd myweather baada ya kushinda kwa point katika pambano lenye utata , katika maamuzi dhidi ya manny pac 1. Ni zaidi ya mishahara ya mchezaji wa barcelona...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
They can not be satisfied, whoever they see thet want him.. see these giant ..According to a report from the Sunday People, Spanish side Barcelona are interested in signing Manchester United...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…