Na mwakani mnapangiwa na TP mazembe.
Msifanye usajili mkubwa kiviiile,na wachezaje muhimu wasiachwe....haswa mbuyu twite, ngasa nk.timu ikibaki hivihivi tutachukua ligi kuu kabla ligi haijafika katikati mwa msimu
Na mwakani mnapangiwa na TP mazembe.
Mkuu unaonaje tukitafuta beki msaidizi wa Joshua...!
Inabidi Klabu imfikirie yule Dogo wa Maboresho... yaani HASSANI KESSY.
Itasaidia kuleta changamoto.
Alafu tunampeleka Tegete akacheze Simba sc kwa mkopo, alafu tumchukue yule kijana HAJIBU.
Na mwakani mnapangiwa na TP mazembe.
MawaZo machafu sana
Mkuu unaonaje tukitafuta beki msaidizi wa Joshua...!
Inabidi Klabu imfikirie yule Dogo wa Maboresho... yaani HASSANI KESSY.
Itasaidia kuleta changamoto.
Alafu tunampeleka Tegete akacheze Simba sc kwa mkopo, alafu tumchukue yule kijana HAJIBU.
Yanga wachukue ubingwa wanavyoweza lakini, mradi simba tukikutana nao tukawafunga mi sijali
Mkuu unaonaje tukitafuta beki msaidizi wa Joshua...!
Inabidi Klabu imfikirie yule Dogo wa Maboresho... yaani HASSANI KESSY.
Itasaidia kuleta changamoto.
Alafu tunampeleka Tegete akacheze Simba sc kwa mkopo, alafu tumchukue yule kijana HAJIBU.
Hahahaaa, mmmh mtani jembe mbona mbaliPoa sana na sisi tunavinjari Africa saaaafi. Wewe endelea ku panda Abood na najmunisa kwenda shinyanga!