Mwaka jana uongozi wa Yusuf Manji uliongezewa mwaka mmoja ili uweze kukamilisha au kuweka katika utendaji mipango iliyokuwa nayo ikiwemo ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Yanga, jambo ambalo mpaka...
Floyd Mayweather will meet Manny Pacquiao in Las Vegas on 2 May for what promises to be the richest fight in history, it has finally been confirmed.
American Mayweather, 37, and Philippine...
Tuliambiwa mtoto wa Matumla angepigana leo ktk mapambano ya utangulizi katika pambano kati ya F. Mayweather na Man Pacquaiao mpk muda huu pambano linaanza simwoni hy dogo. Kulikoni?
Yanga hii ni tofauti na imekamilika kila idara. Haina nia wala sababu ya kufungwa jijini Tunis,Tunisia. Yanga ina kikosi imara na wachezaji wenye ari na wasiotishwa na historia. Yanga hii itaitoa...
kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikia na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela.
na kama mnazo mbona...
UNAPOKWENDA Ulaya, jezi inayoongoza kwa kuuzwa kuliko zote ni ya rangi nyeupe na ufito mweusi au rangi ya dhahabu.
Hiyo ni jezi ya mabingwa wa Ulaya, Real Madrid ambao tayari wameuza zaidi ya...
Mpaka sasa hivi najiuliza na sipati jibu inakuwaje mywether kapigwa round zote kumi na mbili lakn atawazwe kuwa mshind na man pacquio aliyeweza kumudu na kumkimbiza mywether round zote kushindwa...
kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikiwa na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela.
na kama mnazo mbona...
Habari wadau,
Kumekuwa na kujichanganya sana kuhusu muda wa pambano la "The Fight of The Century".Ukweli ni kwamba kwa huku kwetu Pambano sio Tarehe 2 bali ni Tarehe 3 saa kumi na mbili asubuhi...
Hatimayeyametimia ni siku tatu tu zimebaki kwa mabondia wawili maarufu dunia kuingiaulingoni kukata ile kiu iliyokuwa inasubiriwa na wapenzi wengi wa ndondiduniani. Nichukue fursa hii kama mpenzi...
Rio Ferdinand ambaye ni mchezaji wa zamani wa Manchester United (kwa sasa akiitumikia Klabu ya Queens Park Rangers), amefiwa na mke wake anayeitwa Rebecca.
Mwanamama Rebecca alikuwa akisumbuliwa...
Hakuna kipya,hadidhi ni ile ile.Ikicheza bila malengo pasi nyingi za kurudi nyuma huku etoille wakiwa pungufu toka dk ya 42 ya mchezo,Yanga imeshindwa tena mbele ya waarabu.
Mchezo wa awali...
Nastahili kuwapa pongezi Yanga sports club kwa kupambana mpaka tone LA mwisho ila kwa mtazamo wangu acheni hiki ninachokiita uvivu. Ukweli ni kwamba yanga ni wavivu sana maana tangu michuano hii...
Vijana wa jangwani wamefanikiwa kutua salama Tunisia, tunawaombea mshangaze dunia siku ya jumamosi saa 3 usiku ya tz,daima mbele nyuma mwiko mabingwa wa Tanzania bara Mara 25
Rais kikwete amewataka watanzania kuungana pamoja kuiombea yanga hata kwa wale wasio mashabiki wa yanga mikia na wengine wote. Imetolewa na wizara ya Habari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.