Match Day
Pyramids FC Vs Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025
2000hrs
VIKOSI VYA LEO
Pyramids
Mamelodi
Tukutane hapa kwa Updates zote Muhimu!!
Mchezo...
Habari za majukumu wakuunilikua naomba kufahamu taratibu za kupata uwakala wa kampuni za betting pia itapenda nifahamu kampuni zipi zinakubali mawakala
Natanguliza shukrani
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, zilikuwa ni wiki zikawa siku hatimae ule muda wa kusubiri umeisha na leo ndio ile siku ya kuhitimisha michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa msimu wa 2024/25...
Huyu mjukuu wa mzee Mlapanya anayependa kujiita Jemedari Said ambaye hataki kabisa kujitambulisha kwa jina la ukoo wake (ukoo wa mzee Mlapanya) aliongoza fitina dhidi ya Mayelle na sasa maji...
Kwa mpira wa haki ya Mungu, Simba isingefika hapa ilipo Sasa kwenye ligi na CAF msimu huu. Hawana timu ila Ina tajiri mo.
Wameikwepa Yanga kukwepa kufungwa na Yanga mara 6 mfululizo,
Kama...
Narudia tena Karia na tff wamefanya kazi kubwa sana kusimamia league kuu maana pitch kama ya JKt ,Kwaraa,Kmc ,Kirumba ,Namungo,mkwakwani ,Chamazi complex ukizipeleka Kenya ni international standard
Umejawa hofu ya kufungwa kiasi ni kama unazuia wachezaji kuchakarika.
Imani yako kwa Mohamed Hussein, Fabrice Ngoma inaigharimu Timu.
Kibu D ana maguvu Lakini achezi kitimu. Umeshindwa...
Jana usiku Binti huyu mrefu mwenye mvuto wa kipekee ameibuka mwanamichezo Bora kwa upande wa wanawake
Aisha ameweka historia hiyo baada ya siku Chache kupewa tuzo na club yake ya Yanga kwa...
katika ushabiki wangu wa muda mrefu wa mpira wa soka kuanzia mwaka 1995 (nilianza kushabikia mpira) nimefanikiwa kuona wachezaji wa aina nyingi kutoka mataifa mbalimbali wengi wao wakiwa na vipaji...
British newspaper Telegraph has unveiled a list of the top 100 players in the last 28 years, on the
proviso that the nominated players must have graced the English Premier League since its...
Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta...
Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata...
Wadau wa NBA hebu tukae sawa...
Kama kuna somo msimu huu tumejifunza, ni kwamba "heshimu kila timu, hata kama ESPN haijawapa nafasi."
β Oklahoma City Thunder
β Indiana Pacers
Kiukweli kabisa β...
Japo si kwa 100% of course doubts kidogo zilikuwepo kutokana na uwepo wa giants kama Al Ahly na Mamelodi,
Lakini nilipotazama mchezo wa pyramids dhidi ya esperansa nilisema kwakweli isingekuwa...
Mungu fundi
Mungu fundi
Mungu hajawahi shindwa
Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final
Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa
Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe
Niliomtakia...
Sambamba na kichwa hapo juu kikiakisi kiarabu cha mchongo, al-furaha mutawaliya, yaani hapa naeleza furaha 3 mfululu au mfuatano, au basi kama mulivyozowea, furaha mfululizo.
1. Yanga na Ubingwa...
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee.
Mayele mchezaji na...
Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo
Familia...
Wakuu,
Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:30...
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo.
Mchezo huo...