Hbr wadau,
Naomba kuuliza, decoders za bein sport kwa Dar es Salaam nani anauza?
Hao jamaa naona wako vizuri sana mikoani kwa watoa huduma za cables, nilitaka kupata decoder yao hapa dsm
Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi
[emoji115] [emoji115] uzi wa ndugu yetu mshana aliwahi sema bahari ni kiboko ya wachawi.
Uongozi wa Yanga umesema kikosi chao kitaweka kambi Pemba...
Nimepokea Maoni ya watu wengi sana wakiniambia kwann siongelei sana Uchaguzi wa Safari hii wa TFF wakati nlikuwa nampiga sana Malinzi na wakati ni Huu wa mabadiliko?
Kwa wadau wangu Kwanza...
Wadau wenzangu wa JF bila shaka hamjambo.
Ikiwa yamebaki masaa kwa mtanange wa ligi kuu ya mpira wa miguu uingereza yaani EPL kuanza naomba tulijadidili hili. hivi ni kxa nini wachambuzi wengi wa...
BINAFSI sitamsamehe Neymar. Katika umri wa miaka 25, nyakati unazotamani kuona akielekea juu kabisa ya kilele cha ubora duniani, anachagua kuondoka Barcelona na kwenda PSG.
Kwa mchezaji wa aina...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara Yanga wameamua kufunga safari na kwenda Kisiwani Pemba Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya wiki moja kujipanga kuikabili klabu ya Simba katika mchezo wa Ngao ya...
Mchezaji wa zamani wa yanga Simon Msuva aliyetimkia kwa watabe wa soka barani Afrika klabu ya Difaa el Jadida ya nchini Morocco Leo pamoja na wachezaji wenzake wametimkia nchi jirani ya Hispania...
Kesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane...
Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya...
Wakati wa fukuto la vilabu vya Simba na Yanga kugeuzwa kuwa Kampuni ama kumilikiwa na mtu mmoja, Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Mohamed Kiganja, alisema kwamba serikali haitaruhusu...
Watanzania katika michezo tumekuwa wasindikizaji na wale wanaoshinda ni kwa juhudi binafsi,,,big up Simbu let us watch out for remaining Tanzania in London Marathon
Sent using Jamii Forums...
Sijui niko sawasawa lkn nijuavyo mimi mechi kama hii ya SIMBA na RAYON ni ya kimataifa sasa nisichokijua mbona hakuna bendera ya TAIFA wala ya RWANDA wala ya FIFA wala ya CAF,hii ni sahihi?
Sent...
NANUSA HARUFU YA DAMU.... MAN U vs REAL MADRID
Baada ya Manchester United kupata matatizo ya "Munich Air Disaster", Real Madrid ilikua timu ya kwanza kujitoa kujaribu kuisaidia kifedha na kutaka...
Kikosi kikipata ''msosi wa kitaalam'' mda mchache kabla ya kuelekea Uwanja wa Taifa
Wakuu kama ilivyoada leo ni siku iliyokuwa ikisubiriwa na kila mdau wa mpira bila kujali itikadi ya timu yake...
Wanajamvi njooni tumjadili kijana wa kifaransa mwenye asili ya Algeria....
a)Huyu jamaa ni kocha kweli au status yake kama mchezaji inambeba?
b) Yale mafanikio ni ufundi wake au ni ile timu...
Narudia tena kusema enyi Kaimu Viongozi wa Simba SC Salim Abdallah a.k.a try again na mwenzako ' Mtani ' wangu wa Kihaya Idi Kajuna a.k.a tajiri kijana nawapa muda wa Saa 24 au 48 tu zijazo...
Kumekua na taarifa nyingi Mitandaoni juu ya hawa miamba wa Catalan juu ya kutaka kuziba nafasi ya genius wa Mpira Neymar Jr alietimkia PSG...
Hii ni ndoto ya mchana kweupe tena saa sita jua la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.