Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kusema kweli kuna asilimia 90 Karia atakuwa rais ajaye wa TFF.Natamani sana Ally ashinde uchaguzi huu sababu nafahamu ana moyo wa dhati wa kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini na hata Sera zake...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello wazawa, leo vipi matikeo ya timu hizi mbona sijayaona??????? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hawa sio wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF, wala si waandishi wa habari, lakin wapo Dodoma kwenye uchaguzi na suti zao. Hapa naona harufu za kurudi kule kule, maana hawa wanaoojiita watu wa mpira...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Wanabodi, Ally Mayai nimemfahamu miaka mingi akiwa mchezaji hadi sasa. Ingawa sijawahi kuwa na ukaribu nae lakini kwa kufatilia uchambuzi wake wa soka, umakini wake na hekima ambayo pia alikuwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kama mnavyofahamu mimi ni mfuatiliaji mwenye uchungu na mpira wetu wa Bongo na nilionyesha kutoridhishwa kwa kiwango kikubwa na hali ya utawala usio bora kutoka TFF ya Jamal Malinzi...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Aliyekua kocha mkuu wa Taifa Stars mbarazili Maxio Maximo amesema kwamba Frederick Mwakalebela ndio mgombea pekee anayefaa kuchaguliwa kuongoza TFF. Maximo amesema kwamba MWAKALEBELA alifanya...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Soka ya Simba imefungua kesi kupinga mkutano mkuu wa klabu hiyo. Mkutano mkuu wa klabu hiyo unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo. Hata hivyo Bodi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kwa mwenye kujua usajiri wa timu zote tatu za dar , yaani Azam, Simba na Yanga. Natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Afisa habar wa shirikisho LA ssoka nchini TFF Anaripotiwa kufukizwa Dodoma kutokana na kukiuka maadili ya uafisa habari wakati Huu wa joto Kali LA uchaguzi
0 Reactions
1 Replies
996 Views
1. Ukabaji Mbovu Wa Hector Bellin Umefanya Holding Aonekane Njia 2. EPL (English Premier League) hakuna Kiungo Kama GRANIT XHAKA 3.GIROUD Ndiye Super sub Epl Nzima 4.Arsenal Wanajua Mpka Kero...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Tusitegemee jipya kwa Ally Mayai kapata kura 9
0 Reactions
19 Replies
2K Views
DODOMA: Leo ni siku ya Mkutano wa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini(TFF) unaofanyika ktk Ukumbi wa St. Gasper. Katika Uchaguzi huo nafasi zinazogombewa ni Urais wa TFF, Makamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TAKUKURU mko wapi?, Nikiwa kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimepiga kambi hapa Dodoma kufuatilia kwa karibu uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) tangu zilipoanza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambaye pia ni Kaimu Rais wa Shirikisho hilo, leo amehojiwa na TBC1 na kuelezea. Kauli mbiu yake na kufafanua vipaumbele vyake endapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndo hiyo, Ni ngumu sana kuikatalia barca wakati inakutongoza! Coutinho awasilisha ombi la kutaka kuhama liverpool fc, ni wazi anasafisha njia ya kwenda barca! Source: SkySports. BONYEZA...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Na: Pasco Nkololo Huenda ikawa sio ajabu tena leo kusikia DRC Congo ipo nafasi ya 44 katika viwango vya ubora wa soka duniani wakati huo Tanzania ipo nafasi ya 114. Hatushangai tena kwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari, Ukikaa chini ukatafakari na uhalisia wa mambo yanavyoenda unaona kichefuchefu kabisa, na kama una mimba changa unatapika kabisa. Yaani timu kubwa bongo simba ya yanga ni uharo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kitu unachotakiwa kukifahamu ni kwamba Frederick Mwakalebela amekua ni mjumbe wa kamati wa kusaidia kupandisha ligi kuu timu za Njombe Mji na Lipuli Fc . Jambo ambalo limefanikiwa kwani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mgombea wa nafasi ya urais katika Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Frederick Mwakalebela kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa TFF,basi atahakikisha anajenga viwanja vipya vya kisasa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom