Nawashangaa Clouds mnashindwa kusema ukweli wakati ni wazi Yanga wamebebwa kabisa. Goli si halali, kadi nyekundu si halali, mchezaji kabigwa kipepsi halafu yeye ndiye anapewa kadi nyekundu.
Huu...
Wanaspoti.
Nimeamgalia mechi ya Yanga na Lipuli ya Iringa Leo, kweli Lipuli wameonyesha upinzani mzuri, lakini kitu kilichonikera na mara zote hii ni kawaida ya Yanga ni kwa jezi zao kutokuwa na...
Hakuna aliyekuwa na chembe ya shaka baada ya kukamilika kwa mtanange wa ngao ya hisani kuhusu Pappy.
Man of the Match Mkongomani Pappy Kabamba Tshishimbi anaonekana kuwa na damu yenye vina saba...
Mechi ya leo kati ya Yanga na Lipuli tumeshuhudia mpira wa hovyo kutoka kwa timu ya lipuli zaidi ya dakika 40 wanajilaza makusudi kupoteza muda, mpira ni mchezo wa miguu unaoonekana sasa masuala...
Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeanza kujifua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Wachezaji wote kutoka klabu za Tanzania wamefika kadhalika baadhi kutoka nje...
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba ameanza majigambo yake kwa kudai atahakikisha timu yake inaichakaza Simba katika mechi ijayo ili iweze kujikusanyia...
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuendelea kuwa na imani baada ya kile alichosema kuwa ni uchezaji wa kusikitisha sana baada ya klabu hiyo kucharazwa na Liverpool...
Bosi Msaidizi wa benchi la ufundi la Simba, Jackson Mayanja, raia wa Uganda, amefunguka kuwa, kombinesheni ya washambuliaji wao, Emmanuel Okwi na Juma Liuzio itaweza kuwa msaada mkubwa ndani ya...
Kama ni ' Utani ' basi nadhani huu wa Jimmy Kabwe mtangazaji wa Choice fm umezidi na sina uhakika kama nikiweka hapa kile alichokisema leo katika Kipindi chake cha jioni ambacho hupenda...
Katika hali isiyo ya kawaida leo Katika Uwanja wa Uhuru mashabiki wa Yanga wamejikuta wakiingia katika mizozo mara kwa mara kufuatia kutokuwa na Imani na mazingira ya leo uwanjani hapo kiasi cha...
Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3.
tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza...
Bondia maarufu duniani floyd mayweather,ambaye amepigana mara 49 bila kupigwa anategemea kuingia ulingoni na mc gregory ambaye sio proffesional boxer na hana rekodi yoyote katika boxing,yeye ni...
Cheki uvivu wa huyu bwana Karim Benzema ulivyoicost team yake ya Real madrid na Ufaransa katika mechi tofauti, Kwa uvivu huu bora hata Morata angebaki.
Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini
Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu...
Jameni wapenzi wa Sports hasa wana Yanga wenzangu., Habari.
Yanga Oyeeee!!
Daima mbele - Nyuma mwiko.
Ni kweli mechi yetu dhidi ya Singida United tumeshinda 3 kwa 2...ila ukweli unabaki pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.