Mim ni mfatiliaj wa ngumi mda mref,nmeudhuria mapambano meng hapa nchini,..nkaona si haba nkirudia kuangalia mapambano kadhaa ya huyu jamaa,Baada ya kuangalia mapambano 20 ya floyd,nmegundua huyu...
Makocha wa kiafrika wakiwezeshwa na kuaminiwa wanaweza kabisa leo umepigwa mtanange pale uwanja wa Mandela Jijini Kampala kati ya mabingwa mara kadhaa wa Afrika Mafarao wa Misri na Misri kuchapwa...
Siku ya Alhamisi tarehe 31/08/2017 itakuwa siku ya mwisho ya usajili barani Ulaya kwa majira ya kiangazi kwa msimu wa 2017/2018.
Hivyo ukiwa kama mdau wa michezo, karibu katika uzi huu ili kujua...
Mchezaji wa Simba na timu ya taifa ya Uganda the Cranes Emanuel Okwi ameifungia timu yake ya taifa bao pekee dhidi ya Misri kwenye mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2018.
Mchezo...
Baba wa Mtoto Mwamvita ahamia klabu ya Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Simba Week kuelekea Simba day.
Baba mzazi wa mtoto Mwamvita Abdullah aliyepewa msaada wa...
Nanukuu...
"Ni mapema sana kusema watachukua ubingwa wakati ndiyo mechi ya kwanza, Simba wamekuwa wakianza vizuri hivihivi kwa misimu tofauti lakini katikati ya msimu kasi yao imekuwa ikipungua...
Breaking News: Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na hatia ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga Morocco, Simon Msuva huku ikiwasamehe Obrey...
Hatimaye kilichomuondoa Kocha wa Yanga, George Lwandamina na kurejea kwao Zambia kimejulikana.
Lwandamina ameondoka leo kurejea kwao Zambia na awali ilielezwa ni matatizo ya kifamilia, lakini...
Kutoka Studio za Azam TV, Tabata; kinachoendelea ni uzinduzi wa chaneli mpya ya Azam Sports HD ikishereheshwa na Florian Kaijage.
Afisa Mtendaji Mkuu: Kama umelipia kifurushi chochote, unatakiwa...
Manchester City inategemewa kuweka dau la mchezaji tegemezibwa Arsenal Fc muda wowote. Man City inasemekana wanamtaka Sanchez na watawapa Arsenal Raheem Sterling na dau kidogo! Pia inasemekana nae...
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Dann Sserenkuma aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya ameomba viongozi wa Simba kuvunja mkataba nae.
Dann bado hajarudi kutoka kwao, aliomba ruhusa kuwa ana...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani.
Simba ilifanya...
Hii ndo Ngao mpya iliyotengenezwa baada ya kwa kukosea ; na mpaka sasa hakuna taarifa za adhamu kwa waliokosea ; Imegharimu milioni 10;
Afisa habari Alfer akiionyesha baada ya kutengenezwa upya
Habari humu.
Week iliyoisha imeshuhudia mabingwa watetezi, na timu kubwa na zenye historia kubwa ya kutwaa mataji kwenye Ligi zao wakitoa sare, haswa Mabingwa watetezi wakitoa sare kwenye michezo...
Yuko wapi yule aliyesema tenda wema uende zako!
Wayne Rooney pamoja na kuvunja rekodi za kutosha kwa ngazi ya klabu yake ya zamani (Man Utd) na kwa ngazi ya timu ya taifa ya England ikiwemo kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.