Live: Uzinduzi wa Azam Sports HD, Channel 411 kwenye Azam TV

idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,050
1,401
Kutoka Studio za Azam TV, Tabata; kinachoendelea ni uzinduzi wa chaneli mpya ya Azam Sports HD ikishereheshwa na Florian Kaijage.

Afisa Mtendaji Mkuu: Kama umelipia kifurushi chochote, unatakiwa kuongeza TZS 15,000.00 ili kupata LaLIGA.
Charles Hillary: Jiandaeni kupata mambo mazuri zaidi. Michezo mbalimbali itaonyeshwa kwenye chaneli hiyo.

Azam-TV-6.jpg

Azam-TV-2.jpg

Azam-TV-4.jpg

Azam-TV-1.jpg



Charles Hilary akiwa ndiye kiongozi wa timu ya watangazaji wa michezo pamoja na wachambuzi, amekitaja kikosi anachokiongoza kinachoundwa na watangazaji na wachambuzi wafuata
o;

Watangazaji:
1. Charles Hilary
2. Baruani Mhuza
3. Patrick Nyembelan
4. Philipo Cyprian
5. Twalib Omary
6. Ahmed Abdallah
7. Rehema Jarufu
8. Shezia Mugilwa
9. Michael Malue

Wachambuzi:
1. Eddo Kumwembe
2. Ally Mayay
3. Jeff Lea
4. Karly Ongala
5. Hussein Sappi
 
Kama La liga tu bei imekuwa 45000 kama walipia play... basi EPL itakuwa na ongezeko la 100000
 
mie ulevi wangu ni taarifa ya hbr ya itv tu, na chines kungfu. kifurushi changu cha startime 6,000/- kinatosha kabisa. ila kama TCRA wangeniwezesha nikapata na channel za azam hbr, ningefarijika sana
 
Sisi tunamkubali sana Mh. Bakhresa kwa sasa angepata kututngenezea Kifurushi cha mpira hata cha super sport peke yake tukalipia. Maaana EPL ni hatari sana apa mjini
 
Kama La liga tu bei imekuwa 45000 kama walipia play... basi EPL itakuwa na ongezeko la 100000

Hata ikiwa 100000 ni sawa tu maana dstv msimu huu kuiona EPL live ni 199,900/= maana itaoneshwa kwenye ss5 inayopatikana kwenye kifurushi cha premium!
Msimu huu la liga itaoneshwa kwenye ss3 inayopatikana kwenye kifurushi cha compact plus kinacholipiwa 134,000/=.
 
Kwa sasa Azam ni kuangalia habari tu, mambo ya sports naomba niendelee na Bein sport HD, ila Azam siwezi mtupa mkono maana mapinduzi yake ya ukweli sana.....
 
Wadau wa cable network labda na kwa sisi bei itapanda but kwa sasa tuna Beinsport mbili pamoja na supersport!
 
Kama La liga tu bei imekuwa 45000 kama walipia play... basi EPL itakuwa na ongezeko la 100000

Acha upotoshaji azam hd ambayo inaonyesha laliga inapatikana kwenye kifurushi cha azam sports ambacho ni 15,000 tu.
 
Back
Top Bottom