UEFA Champions League(Klabu bingwa Ulaya), Special Thread

UEFA Champions League(Klabu bingwa Ulaya), Special Thread

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
Msimu wa Klabu Bingwa ulaya, ligi pendwa duniani unaanza leo kwa baadhi ya timu kumenyana uwanjani.

Kupitia uzi huu tutakuwa tukipeana habari kwa msimu mzima.

Timu inayotetea ubingwa - Real Madrid
Mfungaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo
Mchezaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo

MAKUNDI YA KLABU BINGWA ULAYA
7b47b1ee1d0b0747c069a7db9e186829.jpg
 
Msimu wa Klabu Bingwa ulaya, ligi pendwa duniani unaanza leo kwa baadhi ya timu kumenyana uwanjani.

Kupitia uzi huu tutakuwa tukipeana habari kwa msimu mzima.

Timu inayotetea ubingwa - Real Madrid
Mfungaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo
Mchezaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo

MAKUNDI YA KLABU BINGWA ULAYA
View attachment 586814​
Wazee wa kubet mpooooo??
 
Kama unatumia king'amuzi cha zuku...TV congo wanaonesha mechi ya livapool na sevila, naangalia sasaivi

17 PHD these are results
 
Vibonde juzi wamepiga mtu 6-0. Unajua vibonde wanacheza na nsni tena mechi ijayo.? Kaa hapo hapo kwanza
Wamecheza na timu hata haijulikani. Walipata mlevi chakari wakampeleka mlimani na kuanza kumsukuma.
 
Back
Top Bottom