Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au...
2 Reactions
15 Replies
849 Views
Kwa sasa, baada ya kuliwa pesa za viingilio vya mchezo wao ambao walifanganywa kwamba ungechezwa kwa Mkapa, Mashabiki wa 5imba wametelekezwa na viongozi wao na hawajui wasimamie wapi kuhusu hatma...
1 Reactions
5 Replies
406 Views
Je, kwenye mashindano yanayosimamiwa na TFF na CAF zipo timu ambazo ziliwahi kucheza mechi bila timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi?. Je, Kuna timu duniani ambazo zilipewa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Tusubiri kuona Wallace Karia akikikimbia kiti alichokikalia maana yeye na Bodi ya Ligi ndio kalitengeneza bomu sasa wanawatimua Mnguto na Kasongo,na yeye Wallace ajitimue pia sasa vipi Mwana FA...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Au mnasemaje waungwana? Huyu mtu wa maana kabisa mpenda haki na amani. Tukutane JUNE 25
1 Reactions
2 Replies
321 Views
Mbwa anamfukuza kicheche anaekula vifaranga wenu, msaidieni mlimalize tatizo once for all. Msikubali ile kitu inaitwa devide and rule. Simba kwa ujinga wanaweza kudhani kuwa shida hii ni shida ya...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino...
9 Reactions
92 Replies
5K Views
Hii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za...
2 Reactions
9 Replies
615 Views
Kisaikolojia mbumbumbu wamepigwa knock out ya kushtukiza ambayo imewaacha wakiwa Awana la kufanya! Viongozi wao ni juzi tu wametoa kipeperushi cha kutokucheza mechi endapo itaghairishwa ya trh...
6 Reactions
16 Replies
930 Views
Mtu wa kwanza kulaumiwa apa alitakiwa yule wa simba alie fanya maamuzi kusema tusicheze mechi trh nane kukataliwa ku train, ndo ukatae kucheza? , Uwanja wa serikali mmekodi siku ya mechi tu kwa...
1 Reactions
7 Replies
351 Views
Azam TV walitumia nguvu kubwa Sana kutangaza mechi ya March 8 ila haikupingwa wakala hasara.Ikatangazwa tarehe mpya June 15 akasema isiwe kesi yaliyopita si ndwele tugange yajayo wakaanza promo...
4 Reactions
11 Replies
654 Views
Tunaomba wale ndugu zetu wa Simba waendelee kutumia nguvu Ile Ile waliyokuwa wanatumia kuitangaza mechi ya trh 15 wakati wao sio wenyeji wa mchezo waendelee nayo ivyo ivyo kwenye mechi ijayo ya...
9 Reactions
89 Replies
4K Views
Mizizi ya klabu ya Yanga inaweza kufuatiliwa tangu miaka ya 1910, lakini historia iliyotambulika rasmi ya klabu hiyo ilianza mwaka 1935 wakati wakazi wa  Dar es salaam , ambao waliwekwa katika...
2 Reactions
1 Replies
463 Views
Naiona Simba ikipoteza mchezo mmoja,. Na kumfanya kuwa nyuma kwa alama 4 mbele ya Yanga. Hivyo mimi kama UwesuTanzania naiona Deby ya Kariakoo Simba ikicheza kwa kukamilisha tu ratiba, pia...
3 Reactions
9 Replies
728 Views
Binafsi nimefurahi baada ya maamuzi yaliyochukuliwa mpaka sasa, Ikiwemo CEO wa bodi ya Ligi Bwn. Almas Kasongo kutimuliwa, Na Bwana Mguto kujiuzulu huku derby ikisogezwa mpaka tarehe 25 June 2025...
4 Reactions
11 Replies
563 Views
Huyu Mwandishi Dominck Salamba ni mzima kweli Kichwani mwake? Nimekuwa nimfuatilia sasa nimefika mwisho na nimekuja kugundua atakuwa siyo mzima kichwani hata kama ni mapenzi na Yanga basi ameugua...
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni michezo kadhaa ya derby imepita tangu Simba ipate ushindi mbele ya Yanga. Baada ya hapo tumekuwa tukipokea vipigo mfululizo, ushauri wangu tujue wazi kupata pointi 3 mbele ya Yanga kwa sasa ni...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Naona bodi ya ligi kuu ikienda kuhairisha dabi ya tarehe 15 kwa mara ya pili tena masaa machache kabla ya mchezo
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…