Kama kuna mdau yeyote wa soka aliyebahatika kumsikia huyu jamaa katika kipindi cha mchezo redio Clouds bila shaka atakubaliana nami kama jamaa ana kipaji cha kuongea na kama mpira ungekuwa...
Tangu asajiliwe kutoka klabu ya Lile ya Nchini ya Ufaransa kujiunga na Chelsea msimu wa 2012/13 Eden Hazard amekuwa mchezaji bora sana. Pamoja na kutoka klabu ya kawaida kwenye ligi ya daraja la...
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Chelsea leo tunashuka Dimbani kupambana na Newcastle ushindi ni lazima.
Nachojiuliza ni kwamba kati ya PEDRO na WILLIAN nani aanze na nani...
Jana tena,Mshambuliaji machachari wa Genk kutoka Tanzania,ameisaidia timu yake kushinda zidi ya timu ya Waasland bao 3-2,Genk walikuwa nyuma ya bao moja kabla Mbwana Samata hajafunga Goal lake...
Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado...
Sasa hivi kuna kuna namba inatembea kwenye vyombo vya habari kuwa wanaomba kuchangiwa
Haya ni maajabu mengine kwa club Kongwe kutembeza bakuli la omba omba
Hivi club Kongwe Afrika mashariki na...
jaman kuna blog ambazo zinaongoza kupamba wachezaji tofauti na hali halisi jinsi ilivyo au inapamba timu kiasi kwamba kama shabiki unakuwa na mategemeo makubwa kumbe hakuna kitu me naanza na blog...
MWANASPOTIAPP
Mashindano makubwa kuliko yote ya soka nchini, Ligi Kuu Bara, umeshaanza.
Mechi kadhaa zimeshachezwa tangu utepe ulipokatwa Jumatano, sasa ni mwendo wa mechi mpaka pale...
jana tarehe 7/8/2017 kwenye kipindi cha michezo habari cha sports extra cha clods fm habari iliyotawala ilikuwa ni ya mashabiki wa iringa kuwapiga wachezaji wa mshikamano.
zogo lilianza baada ya...
Wadau nimekiwa nikipiga kila siku kuwa vijana wetu wa Serengeti boy's sio under 17,kwa factor hizi.
Kama ni kweli vijana hawa wana miaka kumi na saba, inamaana watakuwa wamezaliwa mwaka 2001 ...
Ex-junior international, Emeka Amadi, in this interview recounts how, as goalkeeper of the Flying Eagles, his team, with less than 15 minutes to regulation time, staged a dramatic comeback from...
Sote Watanzania tunashuhudia kiwango vya vijana wa timu ya mpira kwa vijana wa until wa miaka 17 au Serengeti Boys. Katika uchungu wangu kikosi cha sasa ni bora na kimesheheni vipaji pengine...
-Shiva N'Zigou alidai kuwa alifanya mapenzi na dadake na shangaziye
-Alisema alifanya hivyo kusaidia katika kukuza uchezaji wake
-Shiva alidai kuwa mamake alitolewa kafara
Mchezaji kandanda...
Binafsi nashukuru viongozi wa timu ya Serengeti boys pia wachezaji wake kwa utetezi wa nguvu juu ya Taifa letu.
PENDEKEZO
Nashauri serikali kuwekeza katika timu hii kwa nguvu zote na wasiruhusu...
Wengi wetu wapenda soka tuliiona kama mkombozi wa mpira wetu,tukaipendà na kuwa wateja wa bidhaa zake,ikafaidika sana na soka nikajua.Hii Leo wamejitoa na kutuacha wapweke.Tuwasusie ili bidhaa zao...
Unbeliavable Talent..Miaka 19, anapiga pasi za pirlo, ana-turn kama Xavi, Mnyonge tumnyonge, Haki yake tumpe..FUNDI.
Sent using Jamii Forums mobile app