mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,962
- 2,474
jana tarehe 7/8/2017 kwenye kipindi cha michezo habari cha sports extra cha clods fm habari iliyotawala ilikuwa ni ya mashabiki wa iringa kuwapiga wachezaji wa mshikamano.
zogo lilianza baada ya ripota wa mchezo kuripoti, alipomaliza shafii dauda na wenzake(namtaja shafii dauda kwasababu ndo aliyeongoza mashambulizi) walinza kumshambulia ripota aliyeripoti hiyo mechi kati ya mshikamano na LIPULI kwa kusema habari yake ilikuwa ya upande mmoja(yawezekana kweli ilikuwa ya upande mmoja).lakini wao licha ya kuliona kosa hilo nao wakarudia kosa hilo hilo la kuishambulia LIPULI, viongozi wa IRINGA na MASHABIKI WA LIPULI kwa kusema eti wamewapiga wachezaji wa mshikamano.wakawaruhusu mpaka wasikilizaji wa redio yao waliokuwa nao huko bar kutushambulia wana IRINGA.
Mashambulizi na jazba zao zilitokana na picha za kwenye mitandao ambazo zilionyesha mchezaji mmoja akiwa ameumia jicho na mwingine akiwa amepigwa fimbo mgongoni, wakasema mashabiki wa LIPULI eti ndo wamehusika katika uhuni huo, wao kama waandishi waliongea kishabiki zaidi kwasababu wana maslahi na timu ya mshikamano, kwa wale wasiofahamu ni kuwa mshikamano ni timu inayotokea UBUNGO ambako shafii dauda ni kiongozi wa soka hivyo MSHIKAMANO ni timu yake.
shafii dauda na wenzake wala hawakujihusisha kutafuta ukweli wa habari na nini kilijili mpaka wachezaji wale wakawa na majeraha, hawakutaka kabisa kujishughulisha na hilo wao moja kwa moja wakahukumu kuwa ni kipigo kilichotokana na MASHABIKI WA LIPULI.WALIONGEA KADRI WALIVYOWEZA KUONGEA KUONYESHA KUWA SISI WANAIRINGA NI WAHUNI NA TUMEWAPIGA WACHEZAJI WAO. ligi daraja la kwanza jamani ni kama vita kila mtu hutafuta sababu ya kupata point tatu, asipozipata ndani ya uwanja basi hutafuta hizo point nje ya uwanja na ndicho hicho ambacho shafii dauda na wenzake wanataka kukifanya, yaani kuihujumu LIPULI kwa kuipaka matope kwa maksudi wakidhani labda tutanyang'anywa point, HILI WASAHAU.
NINI KILIJILI
kama mnavyojua timu yoyote inavyoenda kucheza ugenini huwa imekuwa imejidhatiti haswa, ndicho hicho ambacho hata MSHIKAMANO WALIKIFANYA, Mpira ulipoanza walichaza kwa kasi mno na dakika ya 15 tu wakawa tiyari wamepata goli, goli hili lilidumu mpaka kipindi cha kwanza kinaisha, baada ya kipindi cha pili LIPULI nayo ilifanya shambulio la kushtukiza mnamo dakika ya 52 ikarudisha goli hivyo kufanya mchezo uwe mgumu, ikumbukwe kuwa LIPULI kabla ya mchezo ndo ilikuwa inaongoza msimamo wa ligi katika kundi lao kwa pointi 20, ikifuatiwa na friends rangers point 16 na mshikamano point 15, hivyo kila timu ukiangalia kwa haraka ilitakiwa ipambane vikali katika mchezo huo ili kujiongezea point tatu muhimu,baada ya LIPULI KUSAWAZISHA MSHIKAMANO WAO WAKAONA DROO NDO USHINDI WAO HIVYO WAKAWA WANAFANYA KILA MBINU WAAMBULIE JAPO POINT MOJA, KWAHIYO WALICHOKUWA WANAKIFANYA NI KUPOTEZA MUDA KWA KUJIANGUSHA SANA UWANJANI, mpira uliendelea katika hali hiyo, kuna muda MSHIKAMANO WALIPATA KONA, katika purukushani za hiyo KONA mchezaji wao akagongana na kipa hivyo akaumia jicho na akatoelwa nje kutokana na kuumia, jambo ambalo wakina shafii dauda wao walisema amepigwa jiwe..UONGO MKUBWA KABISA, Baada ya hapo lilitokea shambulizi upande wa mshikamano, mchezaji wa mshikamano akamfanyia madhambi mchezaji wa LIPULI..refa akatoa penati kwa LIPULI, MSHIKAMANO WAKAIGOMEA PENATI ILE NA WAKAMPIGA REFA, KATIKA PURUKUSHANI ZA REFA NA WACHEZAJI POLISI ILIBIDI WAINGILIE KATI..POLISI WALIFANYA KAZI YAO YA KUTULIZA GHASIA NA MCHEZO UKAENDELEA, ILE PENATI LIPULI WAKAPIGA NA WAKAFUNGA NA KUONGOZA KWA GOLI MBILI KWA MOJA.
baada ya hapo mpira uliisha salama, ikumbukwe kuwa uwanja ulikuwa na ulinzi mkali sana kwasababu kulikuwa na viongozi wa serikali hivyo ilikuwa ni ngumu sana kwa wana IRINGA kufanya vurugu.
hayo ndo mazingira ya mchezo..SASA IWAJE SHAFII DAUDA NA WENZAKE WASIZUNGUMZIE KUPIGWA KWA REFA? Hili wao hata hawakuligusia, na bahati nzuri refa hakuwa na jazba, kama angelikuwa na jazba angevunja mchezo kitu ambacho kingekuwa hasara kubwa kwa MSHIKAMANO.
SIKU HIZI WATANGAZAJI WENGI WAMEANZA KUWA VIONGOZI WA SOKA HIVYO UTANGAZAJI WAO UMEANZA KUWA WA KISHABIKI....LIPULI IMEPAMBANA KWA MIAKA MITANO MFULULIZO HUKU IKIFANYIWA FIGISU NYINGI, SAFARI HII FIGISU TUMEZIZIBITI HALAFU KUNA MTU KISA ANA UWEZO WA KUBWABWAJA REDIONI KISA YEYE NI MTANGAZAJI ANAKUJA ANATAKA KUTUVUTA SHATI....
KUNA VITA KUBWA SANA KATI YA TIMU ZA DAR ES SALAAM NA ZA MIKOANI, VIONGOZI WA DAR WANASHIRIKI KATIKA HUJUMA NYINGI KWA TIMU ZA MIKOANI HASA UKIENDA DAR..SAFARI HII SISI TUMEWASHIKA PABAYA, LIPULI ILIFANYIWA MAMBO MENGI ILIPOCHEZA NA HAO HAO MSHIKAMANO WAKIWA KWAO DAR LAKINI LICHA YA MAGUMASHI YOTE LIPULI ILISHINDA GOLI MOJA...HIVYO LIPULI KIUWEZO NI ZAIDI YA MSHIKAMANO...LIPULI MARA NNE IMEKUWA IKIPIGANA KUPANDA DARAJA NA KUAMBULIA NAFASI YA PILI AU YA TATU....MWAKA HUU NI ZAMU YETU.....
SISI NI WANAPALUHENGO..SISI NI MASHUJAAA.....KWAPAMOJA TUTASHINDA
NA LUNOGE LWEKI.....TUVAGAYA SHIDA