Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kila wakati timu yetu ya taifa haifanyi vizuri kwny mashindano! Je ni kwann? Je kwnn tusiifute tu Na tusiwe Na timu ya taifa ya Mpira wa miguu?
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Taifa Stars To Camp In Brazil Source: http://myafrica.wordpress.com/2006/09/19/taifa-stars-to-camp-in-brazil/ The national team of Tanzania, Taifa Stars, will travel to South America for a...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ilikuwa Tupate draw tu ya bila kufungana au tuwafunge cape verde mwaka 2009 kwa kufuzu AFCON 2010, Ilikuwa dakika ya 86" nahodha Shedrack Nsajigwa Fuso, akafunga goli Tamu sana, tukashangilia...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Wadau, Jana nimeangalia mechi ya Taifa Stars na Lesotho na yafuatayo ndio niliyoyaona mimi kama mfuatiliaji soka wa mda mrefu. 1. Team haina ushirikiano yaani kila mchezaji anacheza kadiri...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Shirikisho la Machangudoa wa Ghana (GPA), limetoa orodha ya bei za kugonoka, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia wageni na wateja wao wanaotarajiwa kuwasili nchini Ghana kwa ajili ya Kombe la Afrika...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejibu suala LA wadau wengi wa soka nchini kulalamkia kitendo cha kutomwanzisha mapema straika John Bocco. "Hii ni Taifa Stars na sio...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
ni wale vichwa vya wendawazimu wa under 23 wamefanya kile tulichokirajia wakifata nyayo za wendawazimu wazoefu waliofungwa majuzi Haya mmeshatoka sasa kalaleni huko na makelele yenu ya kupindua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hapo chini ni maswali ambayo tumuulizie kocha amunike atakapotua tanzania... 1.kwanini umepanga kikosi kibovu tulipokuwa tunacheza na Lesotho?? 2.kwanini umewahujumu watanzania kwa macho ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1.Kuwasili 2.Viboko 3.Selo 4.Mijeledi 5.Kuzitapika mil.50 6.Kubangua korosho 7.Jela.... Itifaki imezingatiwa!
3 Reactions
3 Replies
1K Views
" Kocha gani Mbichwa mkubwa tu kama Matikiti Maji ya Mbwinde aende zake tu " " Ningemjua Mke wake huyu Kocha ningeenda Kumpa Ujauzito hata sasa hivi ili nimkomeshe tu " " We Kocha ana Sura mbaya...
8 Reactions
71 Replies
8K Views
Habari za wakati huu.... Poleni na changamoto za maisha na majukumu ya kila siku.... Niende kwenye mada jamani nina plan ya kutaka kufungua Academy soccer ila wachezaji ntakuwa nabeba kila angle...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Timu ya Cameroon chini ya miaka 17
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wachezaji wanne Simba kutolewa kwa mkopo Bamwanga Blog Upana wa kikosi cha Simba kwa sasa umefanya baadhi ya wachezaji kukosa namba kikosi cha kwanza, Kocha Mkuu Patrick Aussems anataka kuwatoa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mbunge wa Mtera(CCM),Livingstone Lusinde ameitaka TFF kuandaa barua ya kumfuta kazi kocha was Taifa Stars,Emmanuel Amunike ili akishuka tu uwanja wa ndege akabidhiwe. Lusinde ametoa kauli hiyo...
12 Reactions
108 Replies
13K Views
Tena kwa taarifa yenu sasa ni kwamba kama kuna mechi ngumu kwa Taifa Stars na ambayo tukijiandaa nayo sana tutafungwa Goli chache sana 3 ila tukifanya maandalizi ya zima moto kuna hatari ya...
14 Reactions
50 Replies
6K Views
Kutokana na jeshi kuwa na disprin na uzalendo maagizo toka juu yamewaagiza TFF kuwatumia wanajeshi kwenye mechi dhidi ya Uganda!
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Walahi Tz tuna watoto wakali. Jana ile faulo ya mwisho ambayo watu wengi walishangilia wakidhani penati alionyeshwa kwa screen Dada mzuri mmoja chotara akinyanyuka kushangilia akidhani penati...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…